Ukipata fursa ya kukutana na Mshana Jr utamueleza nini?

Ukipata fursa ya kukutana na Mshana Jr utamueleza nini?

Wakuu naomba mniunganishe ktk hiyo Safari ya Mbingu Morogoro kwani naamini nitapatapa kujifunza na kufanya jambo flani la maendeleo huko. Sijajua kwa mtu akitaka kupeleka Mashine ya kukoboa mpunga kama inalipa
 
Back
Top Bottom