Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! avatar yako hio khanga inapata tabu sanaNitamuambia akipewa ban jf ya mwaka atajisikiaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitamuambia akipewa ban jf ya mwaka atajisikiaje
[emoji23] [emoji115] [emoji106]Baba angu Mdogo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji144]Mbona kichwa chake kuzuri??
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nitamshukuru kwa Mengi aliyonitendea. Ni mengi sana.
Japo nimeshamshukuru sana humu lakini tukikutana ana kwa ana nitamshukuru pia.
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Bila sababu ya msingi nampiga kofi halafu nakimbia nduki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitamuuliza kwanini anaupenda uchawi na ulozi pia ntamshauri akoke na achome tungur zake
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitamuuliza nitaogopa maana mmmh huyu jamaa hata kama ameacha lakini amewahi kushiriki yale madubwana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nasubiri mpaka nimuone, nitajua la kumwambia maana yapo mengi mnoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntamuuliza kama ana Tsh. 100 tununue kande!
Lazima atawaloga tu.....[emoji87] [emoji87]Nitamuambia akipewa ban jf ya mwaka atajisikiaje