BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine.
NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona mahojiano hayo.
Huko Thailand lady boy idadi yao ni kubwa kabla ya kwenda huko unahitaji kupata darasa ya kutofautisha kati ya real lady na lady boy ili ukipasuliwa linda iwe at you own risk.