Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

Kwa mfumo wa kipindi hiki ni tofauti na zamani.
Ukishaingia kwenye mfumo wa ajila na usipoenda unakuwa pending miaka yote.
Ukiomba tu kazi Tena jina lako linaonekana ulishaajiliwa
Mhhh sio mpaka ukipata cheque number ndio inakuwa hivi
 
Mhhh sio mpaka ukipata cheque number ndio inakuwa hivi
Ninachokiwaza kuwa baada tu ya kuona umepata placement lakini ukaamua kuandika barua kuwa hutoweza kwenda kufanya kazi kabla hata ya kupata hiyo cheque number. Maana cheque number mpk ufate kamrorongo flani ndio uipata
 
Nmeshuhudia watu wanaacha KAZI taasisi A, na kuuyanga mtaani na wanarudi kuomba KAZI serikalini na wanapata Tena.
Kwa hili la kupuuzia wito sijajua Inakuaje.
 
Usiende kuchukua barua PSRS, nafasi yako itajazwa na mtu mwingine baada ya muda flani.

Ila ukishachukua barua na kwenda kuripoti hapo kunakua na ugumu kidogo.
 
Hii ni isindingo sio kwa jinsi kitaa kilivyo kaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…