Fuata moyo acha kusikiliza kelele za watu
Mimi niliacha kazi na nikitaka kurudi narudi
Kuna jamaa tuliajiliwa wote alikua ameacha kazi miaka ya nyuma walimsumbua mwisho wa siku walimpa kazi na analipwa.
Duniani hapa kitu kisichowekena ni mtu asife.vilivyobaki vyote vinawezekana.
Siku mchakato wa ajira mgumu taasisi ikipata mtu haiko radhi impoteze coz hawajui wataajili tena lini na tena wakiajili hawajui kama ataletwa mtu kwao.
Watakupambania.