Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi.
Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba kwetu watu wanashangilia kwa umri tofauti, hakuwahi kuongoza humu ila aliyowatendea watu yaliumiza walio ccm na wasio ccm. Huyu siyo asset ni liability kwa Taifa.
Bashiru Ally, ameondolewa kwenye nyadhifa zake hakuna mtu nyuma yake wakumfariji wote wamekaa kimya. Maana yake kwa muda mfupi aliojiunga kwenye siasa aliwatesa watu badala yakuwaongoza. Usitegemee atabadilika Ni katili wakuzaliwa aliyeficha makucha
Humphrey Polepole, hana legacy aliyoacha nzuri. Alijikita kwenye unyang'anyi na dhulma ya haki akifanyia propaganda maisha ya watu. Ametumia madaraka kunyanyasa watu na alipotenguliwa hata ndani ya chama awakutaka kujadili alifanya nn maana alifanya kwa kuharibu future za watu
Biswalo Mganga, ameumiza watu na watu wanaumia kwa ajili yake. Alifanya si kwakushinikizwa Bali alifanya kwa namna nafsi yake ilivyopenda. Kwake yeye kusikia mtu yupo rumande Ni furaha, Leo hii amelazimishwa kufuta kesi alizojilazimisha kuwafungulia walioonekana kumzidi uwezo wa akili na Mali. Alijiona yeye ndo hakimu na DPP at once. Si mtu wakumkabidhi watu awape haki
Palamagamba Kabudi, mahusiano yetu na nchi za nje, mahusiano baina ya wanasiasa yamekufa kwa ajili yake. Aliaminiwa akashindwa kusimamia taaluma yake. Akawa sehemu ya mfumo unaotweza nafsi zisizo na hatia. Si mtu wakumpa watu aongoze. Hata ubunge tu hakuona umuhimu wakugombea, alijipitisha bila ridhaa ya Wananchi. Tuumia kwa sababu yake.
Hawa niliowataja Ni watu ambao walipigiwa makofi lakini waliowapigia makofi walitambua wapo binadamu wanaumia. Damu za wanadamu zinalia juu yenu, mtapata madaraka lakini yatawatesa Kama yanavyowatesa sasa