Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

Siku utakapoanza kuhisi kichefuchefu
 
Hamu ya kutaka taka kurudia rudia tendo ikiongezeka ujue ushanasa mimba...
 
Mie dem wangu cku hyo hyo alinambia kitu tayar. Maana alilalamikia sana kwamba oooh! Miguu inamuumwa, nadhani ndani ya cku 1 unagundua km unamimba.
 
Du una experience mkuu.

Haya mambo inabidi uwe na yale ma book ya gynecology tena sometimes uende deep mno... huwa kwa sie watu wa ku withdrawal inabidi ucheze mpk na habits zao pindi wakinasa
 
Mama hayupo

akirudi ntamuuliza

nkwambe maana mimi cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…