Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

Mie dem wangu cku hyo hyo alinambia kitu tayar. Maana alilalamikia sana kwamba oooh! Miguu inamuumwa, nadhani ndani ya cku 1 unagundua km unamimba.
 
Du una experience mkuu.

Haya mambo inabidi uwe na yale ma book ya gynecology tena sometimes uende deep mno... huwa kwa sie watu wa ku withdrawal inabidi ucheze mpk na habits zao pindi wakinasa
 
Mama hayupo

akirudi ntamuuliza

nkwambe maana mimi cjui
 
Back
Top Bottom