Ukipata package kama hii utaifanyia nini?

Ninewafuata kwenye website yao.

Hao Fastastore inavyoonekana ni kampuni la Tech ambalo wana hack packages za huduma mbalimbali za kulipia kwenye mitandao.

Labda kwa mfano wewe ni content creator, unatumia Capcut ku-edit video zako. Sasa Capcut ipo Free na ipo Pro ya kulipia. Wao wanakupatia ya kulipoa kwa malipo madogo.

Wanipe u-PR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…