Conq'ueror
Senior Member
- May 13, 2015
- 171
- 131
Mwenye uelewa tafadhari,ukipata scholarship kusoma nchi fulani mfano degree ya kwanza unalipiwa nini na kujilipia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko aina tofauti {nchi na miji}za scholarships nzuri zaidi waulize waliokupatia,
walipokupa hawakukwambia wanacover mambo gani?? maana huwa wanaweka wazi wanalipa nini, kabla ya kukupa nafasi ya kuiomba, na kabla ya kuomba pia kuna criterias hua wanaziweka, ukiqualify unapewa, waulize watalipa vitu gani maana wao wapo kwenye nafasi nzuri zaidi kukujibu badala ya kutuuliza sisi
pia jaribu kuwa makini/kufwatilia..matapeli wamekuwa wengi siku hizi