Ukipata ugonjwa wa zinaa unaanzaje kumwambia daktari?
Ukipata ugonjwa wa zinaa unaanzaje kumwambia daktari?
Ukipata ugonjwa wa zinaa unaanzaje kumwambia daktari?
tumia condom,kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu,acha ngono...you will be safe
Hamna haja ya kwenda kwa daktari, Nenda Loliondo huulizwi swali hata moja
Wataacha kuumwa endapo wataacha kugusanisha vikojoleo. OverHivi haya magonjwa bado watu wanaumwaga?