Ukipata Ugonjwa wa Zinaa

Ukipata Ugonjwa wa Zinaa

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Ukipata ugonjwa wa zinaa unaanzaje kumwambia daktari?
 
Just be open! Mwambie unajisikiaje, kuna dalili gani unaziona kwa mfano kama kuna discharges za aina yeyote ile. Usifiche kitu. Hata kama atakuuliza ni lini ulizini, wewe mtajie tu. At the end of the day itabidi upewe dozi mbili, moja ikiiwa ni kwa huyo uliyezini naye!!
 
Hatua ya kwanza fuata maelezo ya Chris_Mambo.
Hatua ya pili ili kuepuka matatizo kama hayo baadaye, TUMIA CONDOM.
 
unamweleza kila ki2,af madokta hawana hata shda,yan ful kumwaga maelezo ya nin kufcha? Af na matibabu utayapataje kwa 100%?
 
tumia condom,kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu,acha ngono...you will be safe
 
Pole nenda hosp mwambie Dk naomba nipime mkojo nahisi nimepata infection maeneo nyeti.
 
Hamna haja ya kwenda kwa daktari, Nenda Loliondo huulizwi swali hata moja

Shida ukigonga kikombe ukapona masharti magumu... kale katabia ka-uvunjifu wa amri ya sita kanakatazwa kabisa, sasa sisi tuliozoea 'nje cup' hii itatuwia vigumu sana. Bora kwenda kwa Dr Ndodi wa Haleluya clinic
 
hakuna cha kuficha bnafsi cwezi kumficha Doc kwasababu cntopata huduma sahihi
 
Namwambia dokta nina ugonjwa wa zinaa...mficha maradhi.....
 
Mweleze hali halisi tu U NEVER KNOW WHEN IT'S GOING TO RAIN.
 
Back
Top Bottom