moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Napenda kukuambukiza hii kitu siku ya kufanya mapenzi napenda nisishibe hapo nasimsmia show vyema nikisha shiba hata kimoja nitashindwa kutoa lkn kabla ya tukio nakula vizuri ,hapo 1_4 nikitoka hapo ni mawenge nguvu hamna natafuta chakula kiko wapi hyo ni yangu labda tunatofautiana ,nawasilisha tu wakuu[emoji98] [emoji98]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app