Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1631248283256.png
 
🤣🤣 huyu Hana tofauti na yule alievua nguo kule kariakoo..
 
S
Kabla ya sisi wana familia kukaa na kuuliza alieuza shamba, tunamroga kwanza ndio kikao kinafuatia.

Nasema tunakuroga. [emoji846]
Sasa si mtajiroga wenyewe Mkuu? Kama kula mmesha kula dhara la muuzaji ndo dhara la mrogaji ! Hahaaaaaa
 
S
Kabla ya sisi wana familia kukaa na kuuliza alieuza shamba, tunamroga kwanza ndio kikao kinafuatia.

Nasema tunakuroga.
emoji846.png
Sasa si mtajiroga wenyewe mkuu kaa kula mmesha kula dhara la muuzaji ndo dhara la mrogaji ! Hahaaaaaa.
 
Huu nao uziiiii?
Si ulifaa uende kwa mshana kwenye uzi wa vituko mitandaoni
 
Back
Top Bottom