Mkuu huogopi yajayo????
[emoji23] [emoji23]Kabla ya sisi wana familia kukaa na kuuliza alieuza shamba, tunamroga kwanza ndio kikao kinafuatia.
Nasema tunakuroga. [emoji846]
Sasa si mtajiroga wenyewe Mkuu? Kama kula mmesha kula dhara la muuzaji ndo dhara la mrogaji ! HahaaaaaaKabla ya sisi wana familia kukaa na kuuliza alieuza shamba, tunamroga kwanza ndio kikao kinafuatia.
Nasema tunakuroga. [emoji846]
Sasa si mtajiroga wenyewe mkuu kaa kula mmesha kula dhara la muuzaji ndo dhara la mrogaji ! Hahaaaaaa.Kabla ya sisi wana familia kukaa na kuuliza alieuza shamba, tunamroga kwanza ndio kikao kinafuatia.
Nasema tunakuroga.
Nasema hivi!!!We kwa akili yako unaona hiki ni kituko- ndo uwezo wako umeishia hapo