The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Nategemea kufanya nayo biashara ya nguo za jumla mkuu
Sawa, kama biashara yako ulishaifanyia tathmini, ni vizuri ila ikiwa ni kutanua na sio kuanza itakuwa poa sana ila kama ndio unaanza naweza kukushauli usiitumbukize pesa yote hiyo kwenye biashara, unaweza ukashindwa kurudisha kama mlivyokubaliana.