Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

M45 ni vema ungesema kwanza kuwa pesa hizo unategemea kuzifanyia kazi gani? Kama ni biashara au ujenzi wa nyumba nk.
 
Last edited by a moderator:
Nategemea kufanya nayo biashara ya nguo za jumla mkuu

Sawa, kama biashara yako ulishaifanyia tathmini, ni vizuri ila ikiwa ni kutanua na sio kuanza itakuwa poa sana ila kama ndio unaanza naweza kukushauli usiitumbukize pesa yote hiyo kwenye biashara, unaweza ukashindwa kurudisha kama mlivyokubaliana.
 
Vizuri Mkuu.
 
Hapa tunashindwa kumuelewa mleta Mda.
Inawezekana anapesa anatarijia kwa hawa Waganga waliojaa kwenye magazeti ya udaku,sasa matapeli wale wa kiganga watakuma wamemuambia anataka kiasi gani na atafanyia nini na atarejesha kiasi gani.

Ila kwa akili ya kawaida,mtu anaemiliki 65m kama amezitafuta kwa jasho lake basi pesa anaijua,hawezi kufanya ujinga huo hata siku moja.
 
Back
Top Bottom