Ukipewa nafasi hii utautumiaje??

naona kazi yako ya kitick majina ya wasilala inaendelea eenh...kuna jukwaa la tusiolala sijui kama unalifahamu!!

Mh!
Hilo jukwaa ni hatari kwa afya za watu!
Itabidi lifungwe!
 
sababu niliwekwa ban katika jukwaa la michezo, na jukwaa la siasa napenda zile hoja zitolewazo, halafu jukwaa la watu wazima yule invisible anapenda sana kumuvuzisha hoja/mada zangu ninazotoa na kupeleka anakokujua yeye ndo mana jukwaa hilo silitembelei
Toa sababu cousin
 
mimi jukwaa la Dini na Imani nimepita chini ya mara 8 tangu nijiunge JF@Charminglady
 
ngoja nilitafte jukwaa la wakubwa nione kunani uko..maana linatajwa tajwa sn
 

Hahahaaa.... pole sana cousin. Sema naye vizuri ili asiwe anamuvuzisha thread zako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…