GE2025 Ukipewa nafasi kushauri Jeshi la Polisi, Serikali na Rais, nini yatakuwa maoni yako?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,311
Reaction score
1,220
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali, na IGP, wanapita hapa, kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea nchini ikiwemo utekaji, watu kupigwa, kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
 
1. Jeshi la Polisi ni la kubadilisha kutoka kuwa la Kikoloni, mpaka kuwa taasisi ya kulinda raia na mali zao.
2. TISS nayo inatakiwa itenganishwe na UVCCM. Iwe taasisi huru ya kulinda maslahi ya nchi tu, badala ya maslahi ya watu wachache.
3. Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba irudishwe kwenye Bunge jipya la Katiba litakaloundwa na wajumbe kutoka makundi yote muhimu kwenye jamii, huku kundi la wanasiasa likiwakilishwa na wajumbe wachache wazalendo, na wanaojali maslahi ya Taifa, na siyo maslahi yao binafsi au aslahi ya vyama vyao.
 
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali ,na IGP, wanapita hapa, Kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea Nchini..,ikiwemo utekaji ,watu kupigwa ,kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
Iwapo hapendezwi na rekodi ya jeshi la polisi juu ya mwenendo wake na haki za raia,maoni yangu pengine angelifanyia mageuzi makubwa sana,Pia mahakama na hata ule mhilili wa bunge na tume ya uchaguzi.Na angehimiza haki na usawa katika ujenzi wa taifa letu.Kupitia demokrasia halisi,tena ya kizalendo.
 
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali ,na IGP, wanapita hapa, Kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea Nchini..,ikiwemo utekaji ,watu kupigwa ,kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
Polisi haishauriwi bali kazi yake ni kulinda usalama wa raia na mali zao.

Polisi siyo Kamati ya Maandalizi ya harusi, ushauri peleka huko
 
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali ,na IGP, wanapita hapa, Kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea Nchini..,ikiwemo utekaji ,watu kupigwa ,kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
Viongozi na wanachama wa CHADEMA sasa wanaingia mahakamani. Lissu anasubiri kidogo ili waketi. Ukumbi sasa umejaa!
 
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali ,na IGP, wanapita hapa, Kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea Nchini..,ikiwemo utekaji ,watu kupigwa ,kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
Muheshimiwa DG-EYE-S wetu NTU wa DILI kachukua mabilioni kwa "MISAMBANO' kanunua ma ROZI ROZI na ma APATIMENT masaki ,kuniziba mie N' domo kanipa G WAGON kataaa brazaaa kataaaaaaaa!!
 
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali ,na IGP, wanapita hapa, Kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea Nchini..,ikiwemo utekaji ,watu kupigwa ,kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k

Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni hayo tu
UVCCM TAIFA
MAGEMAJR17
Itategemea ni serikali ya nchi Gani!
 
Wafanye majukumu yao ya msingi
-Footages za shambulio la Lissu kwanini wamezificha?
-Kwanini polisi/TISS wamemuua Ali Kibao na majina ya wale polisi watatu waliomshusha kwenye basi wakiwa wameshika pingu na pistols yawekwe hadhani kwani kuna maswali ya kuwauliza wao.
-Polisi/TISS waliomteka Mdude Nyangali wamemuua au bado yuko hai? Kama yuko hai yuko wapi na kama wamemuua mwili wake uko wapi?
-(Swali personal kwa Samia):
Kwanini ameshiri kuhujumu process za chama chake za kupata mgombea wa urais mpaka kusababisha mpasuko mkubwa unaosababisha wale wasiom-support wanatishiwa maisha kila uchwao? Haoni kuwa hilo ndilo linalosababisha uvujaji wa siri zao za nepotism na ufisadi uliokithiri?
-(Swali personal kwa Kikwete):
Kwanini analazimisha kuwa one of the decision makers ilhali ameshastaafu? Haoni kuwa anachafua the little remained legacy yake? Haoni kuwa anamchafua mwanae Ridhiwani pamoja na kwamba lengo lake ni kumsafishia njia ili aje apokee kijiti somewhere in the future kama ilivyotokea taifa jirani la Zanzibar kwa Karume and Mwinyi family?
-Swali direct kwa IGP:
Haoni aibu madudu yanayofanywa na polisi wake au ameamua kuyafumbia macho na kukubali kuendelea kuitwa chawa wa CCM?
-Swali direct kwa CDF:
Una nini la kuongea baada ya kuhusishwa na ufisadi na kulainishwa kwa bakshishi za wanamtandao? Have you been compromised? Kwanini mnakana kwamba mabasi yenu hayajapakwa rangi za CCM with all the solid facts on ground? Umekubali kuwa chawa?
Swali direct kwa 'nyapara mkuu' wa TISS:
Uncle umelala au umenunuliwa na mafisadi? Kweli uhujumu wote huu na kelele zote za wananchi frfr can't you see the obvious pattern? Nanyi pia ofisi zenu hazijui footages za shambulio la Lissu zilichukuliwa na nani?
Swali kwa judiciary:
Mmekuwa chawa kiasi cha kukiuka maadili waziwazi ili Lissu awe gerezani mpaka baada ya uchafuzi je mmetishiwa maisha na timu ya akina Mafwele au mmenunuliwa au kuna ahadi nono mlizopewa baada ya kukamilisha hilo zoezi? Mtiririko wa hizi kesi wote tunaufahamu, mliwaamisha raia kuwa Mbowe ni gaidi leo nyinyi(serikali yote kwa ujumla) amegeuka kuwa partner wenu wa karibu.
-Swali kwa kile kinachoitwa tume huru ya uchafuzi:
Hivi kweli nyinyi hamna hata tone la aibu, recourses za nchi zinaenda kutumika katika hii drama inayotia kinyaa mpo tu mmekenua kama wehu? Are you all stupid au ni kwa sababu ya pesa au some of you are just being blackmailed au ni kitu gani? Hii serikali inavyozidi kuchukiwa mchango wenu ni mkubwa sana kwenye hilo.
Caution: Rostam watu wanaku-zoom, one mistake one goal.
 
Polisi waongeze virungu vya mpingo ikibidi wanipe tenda niwasambazie
Serikali nawashauri waongeze mishahara ya wabunge na marupurupu sababu ni watu muhimu sana katika maendeleo
Rais namshauri aendelee yeye hadi kufa kwake
Pigeni makofi pigeni makofi
Pigeni makofi tafadhali
 
-Footages za shambulio la Lissu kwanini wamezificha?
-Kwanini polisi/TISS wamemuua Ali Kibao na majina ya wale polisi watatu waliomshusha kwenye basi wakiwa wameshika pingu na pistols yawekwe hadhani kwani kuna maswali ya kuwauliza wao.
-Polisi/TISS waliomteka Mdude Nyangali wamemuua au bado yuko hai? Kama yuko hai yuko wapi na kama wamemuua mwili wake uko wapi?
-(Swali personal kwa Samia):
Kwanini ameshiri kuhujumu process za chama chake za kupata mgombea wa urais mpaka kusababisha mpasuko mkubwa unaosababisha wale wasiom-support wanatishiwa maisha kila uchwao? Haoni kuwa hilo ndilo linalosababisha uvujaji wa siri zao za nepotism na ufisadi uliokithiri?
-(Swali personal kwa Kikwete):
Kwanini analazimisha kuwa one of the decision makers ilhali ameshastaafu? Haoni kuwa anachafua the little remained legacy yake? Haoni kuwa anamchafua mwanae Ridhiwani pamoja na kwamba lengo lake ni kumsafishia njia ili aje apokee kijiti somewhere in the future kama ilivyotokea taifa jirani la Zanzibar kwa Karume and Mwinyi family?
-Swali direct kwa IGP:
Haoni aibu madudu yanayofanywa na polisi wake au ameamua kuyafumbia macho na kukubali kuendelea kuitwa chawa wa CCM?
-Swali direct kwa CDF:
Una nini la kuongea baada ya kuhusishwa na ufisadi na kulainishwa kwa bakshishi za wanamtandao? Have you been compromised? Kwanini mnakana kwamba mabasi yenu hayajapakwa rangi za CCM with all the solid facts on ground? Umekubali kuwa chawa?
Swali direct kwa 'nyapara mkuu' wa TISS:
Uncle umelala au umenunuliwa na mafisadi? Kweli uhujumu wote huu na kelele zote za wananchi frfr can't you see the obvious pattern? Nanyi pia ofisi zenu hazijui footages za shambulio la Lissu zilichukuliwa na nani?
Swali kwa judiciary:
Mmekuwa chawa kiasi cha kukiuka maadili waziwazi ili Lissu awe gerezani mpaka baada ya uchafuzi je mmetishiwa maisha na timu ya akina Mafwele au mmenunuliwa au kuna ahadi nono mlizopewa baada ya kukamilisha hilo zoezi? Mtiririko wa hizi kesi wote tunaufahamu, mliwaamisha raia kuwa Mbowe ni gaidi leo nyinyi(serikali yote kwa ujumla) amegeuka kuwa partner wenu wa karibu.
-Swali kwa kile kinachoitwa tume huru ya uchafuzi:
Hivi kweli nyinyi hamna hata tone la aibu, recourses za nchi zinaenda kutumika katika hii drama inayotia kinyaa mpo tu mmekenua kama wehu? Are you all stupid au ni kwa sababu ya pesa au some of you are just being blackmailed au ni kitu gani? Hii serikali inavyozidi kuchukiwa mchango wenu ni mkubwa sana kwenye hilo.
Caution: Rostam watu wanaku-zoom, one mistake one goal.
We Jamaa utakuwa umesoma Urusi.
 
Back
Top Bottom