Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Tarh ya kufa inajulikana mbonaChamsingi tu nijue nitakufa lini basi,.
Nisaidie kuifahamu yangu mkuuTarh ya kufa inajulikana mbona
Nijue Mimi ni nani and why am here.Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.
Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo
Wewe utatamani kujua nini?
You are here to suffer for materials thingsNijue Mimi ni nani and why am here.
I don't think so.You are here to suffer for materials things
Duh! Ila watu aiseeMimi ningetamani kujua kwanini mtu mweusi hana akili na Ana roho mbaya .
My extreme questioning soul..!Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.
Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo
Wewe utatamani kujua nini?
Ukijua unakufa kesho utafanyajeMimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.
Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo
Wewe utatamani kujua nini?
Sema kwanini sina akili na nina roho mbaya au wewe mzunguMimi ningetamani kujua kwanini mtu mweusi hana akili na Ana roho mbaya .
Ishi kama utakufa mda wowote na Fanya matendo kama vile utaish milele.Nisaidie kuifahamu yangu mkuu