Ukipewa nafasi ya kujua jambo 1 tu kuhusu Maisha yako ambalo bado halijatokea, utatamani kujua nini?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.

Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo

Wewe utatamani kujua nini?
 
Nijue Mimi ni nani and why am here.
 
Napenda kujua nitakufaje. Kuna muda nakaa nawaza kama itakuwa ajali, UKIMWI, kuungua mto, kuuawa na wananchi wenye hasira kali nk nk. Naomba tu nife kifo kisicho na mateso.
 
M
Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.

Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo

Wewe utatamani kujua nini?
My extreme questioning soul..!
 
Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.

Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo

Wewe utatamani kujua nini?
Ukijua unakufa kesho utafanyaje
 
Nani akupe hiyo nafasi..?
haipo tunaishi kama vipofu maana huenda hata alietuumba hajui kesho yetu!, ye aliumba tu kesho yetu hakuihesabu isipokuwa aliweka hesabu kwenye genetic ya kwamba binadamu akifikia umri fulani atazeeka mwishowe viungo vyake vitalemaa nakushindwa kufanya kazi hadi kupelekea kufa!.
Magonjwa, ajali hiyo ni nakadharika hakuna wakutabili hata yeye hajui so sahau kuhusu hiyo nafasi we ishi ndani ya malengo yako, jilinde vile unavyoweza tu basi.
 
Back
Top Bottom