matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hakuna cha kufanyika maana haiwezekani. Hata TP Mazembe ingekuwa ipo ligi ya NBC ingekuwa kama Azam tu, mwisho wake nafasi ya pili au ya tatuUnadhani nini kikifanyika team ya tajiri huyu iwe angalau kama TP mazembe.
Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote...
Nilipoiona AZAM na bosi tajiri yuko nyuma yake nikasema afadhali angalau tumepata team ambayo itakwenda hadi club bingwa duniani icheze na wakina Madrid au Barca.
Lakini kila nikiichungulia naona haina uwezo wa kuvuka siasa za simba na Yanga.
Mimi sio mpenzi wa soka ila ni mfuatiliaji wa karibu kila kitu kinachoendelea nchini.
Unadhani nini kikifanyika team ya tajiri huyu iwe angalau kama TP mazembe.
Hili ni wazo bora sana.aache kuajili watanzania kwani wamejaa usimba na uyanga , achukue menejimenti toka Morocco au Misri na awaachie wafanye maamuzi.
Azam kweni analipa kiasi gani kwa hawa wachezaji wanaotoka nje?Ili timu iwe nzuri kushindana caf champions league ni lazima iwe na quality players kwa standard ya caf champions league..
Azam tajiri anatoa mishahara midogo ambayo haiwezi kumfanya quality player aache mazembe au mamelodi aje kucheza azam.
Azam tajiri anawekeza hela nyingi kwenye miundombinu ila kwenye rasilimali watu ambao ni wachezaji analipa mishahara ya kihindi
Mishahara sio constant ndugu yangu,inategemea na kiwango chako!Azam kweni analipa kiasi gani kwa hawa wachezaji wanaotoka nje?
Kumbe muamedi ananafuu sana kuwepo simba.Kama tajiri mwenyewe timu ya Azam ikizifunga timu za kariakoo ANALIA unategemea wachezaji watafanya nn
ATOE SIASA ZA SIMBA NA YANGA KWANZA
mishahara midogo bonas za kawaida Sana imagine anatoa bonas ya mil 23 mechi ya pil.ya shirikisho had wachezaj wanagomabaniana na benchi la ufundi
Yanga na Simba bonas inafika had mil 500.kwa mechi
AZAM INA JINA KUBWA LAKN MASLAHI HAKUNA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa lakini kuna policy za timu labda mshahara hautazidi kiwango flaniMishahara sio constant ndugu yangu,inategemea na kiwango chako!
Tatizo sio benchi wala nini...Ni kufumua benchi la ufundi lote,kocha,waswahili wote nafukuza.
Naleta kocha mwenye cv iliyoshiba,naajiri watu ambao hawafungamani na hizi timu za kurithi kutoka misri na south africa..
Pesa nyingi nawekeza kwa wachezaji wenye majina makubwa...nanunua kutoka klabu kubwa kama Mazembe,alahly,mamelod,na club zingine kubwa nachukua wachezaji hatari barani africa ili kuimarisha timu iwe kubwa kwa nguvu ya pesa kama Mancity&Psg.
Wachezaji wa ndani nakuwa nawatoa kwenye academy wanapandishwa timu ya wakubwa kidogo kidogo.