Nimepokea message hii toka kwa washikaji zangu mbalimbali
"Ukipigiwa simu kwa private no. au akaandika call kwa red colour usiipokee ni mionzi unaparalise na kufa. Imetokea kenya watu wamekufa. julisha ndugu & jamaa wote."
Kaelimu kangu ka science kananifanya isiniingie kichwani, hebu mabingwa mmeshapokea sms za aina hii?