Ukipigwa vitani kwasababu ulikuwa unampigania Mungu wako inamaanisha nini?

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata.

Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?
 
NDIYO
 
Mungu kiziwi hasikii lolote, ukiwakuta ktk ibada zao sasa wanavyomkuza huyo Mungu wao mbona utashangaa sana.

The same way kwa yule Mungu wa walokole huyu anamasikio sugu yasiyosikia lolote, yaani tangu waanze kumuabudu na kumuomba hakuna jambo amewai kulifanya wala kulitimiza.

Umasikini unazidi, magonjwa, njaa, vita na matukio ya kutisha ambayo hawa wafuasi wa Mungu wanatuaminisha kuwa ktk ibada zao wakimpinga shetan na kumuangamiza maajabu ni kuwa huyo shetan anaonesha Ushindi mkubwa dhidi ya huyo Mungu wanaemuomba kila siku za ibada na mikesha mbalimbali, huku wakimtolea na sadaka+mafungu ya 10.

Mungu wa hizi dini hana Nguvu kama mlivyoaminishwa,badala yake anakuzwa tu kupitia propaganda za wachungaji na mashekhe,yaani hata mchawi hapo kijijini kwenu akiwa siriaz na kilinge chake anaweza kumtetemesha Mungu wa dini huko mbinguni pamoja na jeshi lake la waumini hapa dunian wakapata mapigo ya matatizo mpaka walie kwa kufunga na kuomba lkn Mungu yupo kimya[emoji28][emoji28].

Amkeni jamani mnapigwa, masuala ya kiroho hayapo kama mnavyoaminishwa
 
Aiseee
 
Ama kawapuuza au kawaadhibu!!

Yaani ukamsingizie Mungu eti kawaandalia wahuni mabikra 72 ili wakawapige miti!!? Hiyo ni laana na ndo maana kawapuuza
 
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata.

Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?
Dini zote ni usanii mtupu
 
Mungu kiziwi hasikii lolote, ukiwakuta ktk ibada zao sasa wanavyomkuza huyo Mungu wao mbona utashangaa sana.

The same way kwa yule Mungu wa walokole huyu anamasikio sugu yasiyosikia lolote, yaani tangu waanze kumuabudu na kumuomba hakuna jambo amewai kulifanya wala kulitimiza.

Umasikini unazidi, magonjwa, njaa, vita na matukio ya kutisha ambayo hawa wafuasi wa Mungu wanatuaminisha kuwa ktk ibada zao wakimpinga shetan na kumuangamiza maajabu ni kuwa huyo shetan anaonesha Ushindi mkubwa dhidi ya huyo Mungu wanaemuomba kila siku za ibada na mikesha mbalimbali, huku wakimtolea na sadaka+mafungu ya 10.

Mungu wa hizi dini hana Nguvu kama mlivyoaminishwa,badala yake anakuzwa tu kupitia propaganda za wachungaji na mashekhe,yaani hata mchawi hapo kijijini kwenu akiwa siriaz na kilinge chake anaweza kumtetemesha Mungu wa dini huko mbinguni pamoja na jeshi lake la waumini hapa dunian wakapata mapigo ya matatizo mpaka walie kwa kufunga na kuomba lkn Mungu yupo kimya[emoji28][emoji28].

Amkeni jamani mnapigwa, masuala ya kiroho hayapo kama mnavyoaminishwa
Mtazamo uliojaa upumbavu mwingi.

Inaonyesha Ni elimu huna. Mbumbumbu wa neno la mungu.
 
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata.

Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?

Mungu apiganiwi, kama huamini fuatilia safari ya wana wa israel toka Misri, Mungu alijipigania mwenyewe.
 
Back
Top Bottom