Ukipita karibu na kituo cha bodaboda ukiwatazama tu wanawasha pikipiki

🤣🤣🤣🤣
 
Yaani Kuna mmoja Jana kaniboa Hadi nikachelewa kuondoka nimetoka kicheko mechi huyu hapa twende nikamwambia bado mda naenda shop anifuata nkaenda bar anifuata ikabidi ninywe maji akapata mteja nikaita boda mwimngine...nikasepa...mi sipendi kufuatwa fuatwa NI Kama anakutrack Jana nimembeba SAA ngapi alikuwa kanywa au hajanywa juzi kesho mpaka kero wakishajua nyumbani kwako...ooh
 
ahhaha bodaboda ndio wanajua sana mambo ya watu ,hata mdada wa mtaani ukiwa unamfukuzia ,ukiuliza bodaboda wanakupa faili lake
 
ahhaha bodaboda ndio wanajua sana mambo ya watu ,hata mdada wa mtaani ukiwa unamfukuzia ,ukiuliza bodaboda wanakupa faili lake
Siyo mdada tuu, hata ukitaka mke wa mtu wewe waulize watakupa connection kwa wale warahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…