Ukipitishwa kuwa mgombea Urais maana yake una sifa ya kuwa Rais. Acheni propaganda za mtu makini

Ukipitishwa kuwa mgombea Urais maana yake una sifa ya kuwa Rais. Acheni propaganda za mtu makini

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Watu wa chama Tawala jengeni hoja mkiwashawishi wananchi wawachague, wao wanajua Nani Ni makini na Nani siyo makini. Mkikosa kutambua sifa za mgombea Urais

Ni zipi msitulazimishe kwa sifa ambazo azikuandikwa, sifa ya makini sijui mzoefu subirini iandikwe kwenye sheria lakini Kama haipo sisi tunaenda na anayejali haki na maendeleo ya watu.....uwezi ukathamini vitu kuliko utu ukapendwa na watu
 
Back
Top Bottom