ZagaZagarino
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 431
- 589
Habari , Kwa aliyepoteza Kitambulisho cha NIDA akifanya malipo ya 20,000 anakaa siku ngapi mpaka akipate , Niko Dodoma
MREJESHO
Nimefika NIDA , Dodoma nikapewa Form yaani nianze kujaza Upya , mfano naanza kujisajili pia naambiwa nipite Migration , Why all the process ikiwa kwenye mfumo kitambulisho kinasoma ? Na hata COPY wamegoma wamesema hawatoi