Mjomba ukisoma biblia vizuri utagundua kuwa Kuna DHAMBI zinazosameheka na zisizosameheka.
So nikwambie tu. Hakuna atakaekufa bila DHAMBI 100%
Sote tutakufa na DHAMBI na Kisha tutapewa msamaha kulingana na matendo yetu mengine tukiwa hai.
Biblia na Quran takatifu vyote vinaeleza DHAMBI ambayo haisameheki ni DHAMBI ya shirki peke ake.
Ktk biblia DHAMBI hiyo inatajwa Kama kumdhihaki roho mtakatifu.
DHAMBI hii ikiwa utaitend na ukafa hujaitubia basi ni lazima utakuja kuijibia tu.
Hivyo zingine zote utasamehewa ikiwa unastahili msamaha na ulikufa ukiwa hujazitubia .. Ila hii tu mjomba utaijibia .
Sasa kwa DHAMBI ya MWAMBA bado mbingu anaeza iona mze .. Mana hajamdhihaki MUNGU katika kumuua huyo mpuuzi ....
Jama ameitetea Imani yake kwa matendo .. ikiwa kakosea basi MUNGU amrehemu as hakuwa akimfanyia dhihaka MUNGU kwakupandea na hasira juu ya upuuzi huo.
Ila kwa Mimi Jama kafanya good thing na lepo Ina yeye.
Haleluuuuuuuya ??