Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"
Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.
Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?
Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒
Mungu Ibariki Tanzania