Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

Praise team naona sikuizi mko na Mungu wenu 😂😁🤣 all in brain 🧠 damage
Gentleman,
licha ya mihemko na makasiriko, lakini lazima wajibu wa kueleza ukweli kuhusu mambo haya muhimu lazima utekelezwe vyema na bila kuchoka :NoGodNo:
 
Akili hauna
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.

Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.

Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"

Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.

Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?

Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Akili hauna, wewe ni msindikizaji katika sayari hii nzuri. Na utakufa jinga na masikini kama wewe jinga unawaza nyimbo za matapeli badala ya kazi. Taifa letu limebeba majinga mengi wewe ukiwa kinara. Zee zima jinga na kapuku. Shetani . Mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.

Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.

Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"

Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.

Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?

Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wakati humo njiani unamokatiza wanaichi wake ni maskini wa kutupa na akili zenu zimelelia kwenye kufikiria kuiba kura siku zote wakati wahusika hawawataki,mmebakiwa na chawa kama wewe
 
Kmmk
 
Yes, ukiwa mjinga usiyeelewa chochote kinachoendelea ndani ya nchi yako ni lazima uta enjoy safari nzima.
Yaani wewe ni sawa na ile idadi ya JK ya 80% ya watanzania hawaelewi kinqchoendelea yaani akili yao sawa na upepo unakovumia na bendera huko huko.
 
nadhani kwasasa ni faraja ilioje kwa kila mwananchi kwasababu kila eneo kuna shughuli za kiuchumi zinaendelea mathalan biashara, kilimo, ufugaji, usafirishaji n.k

hii inamaanisha serikali sikivu ya ccm imeaweka mazingira mazuri ambayo yamewakomboa wananchi kutoka kwenye lindi la umasikini wa kutupwa hadi kua na maisha bora.

ni muhimu kua wakweli :NoGodNo:
 
siyo Tanzania ninayoijua mimi ambayo binadamu na wanyama wanachangia kunywa maji pamoja
 
wote ni mamalia,
wanakula chakula, wanapumua na kunywa maji pia.

au wewe ulitaka wanyama wanywe maji, halafu binadamu wanywe bia, right? :NoGodNo:
 
Mnatumia bwawa moja,yaani nyani anakunywa hapo,punda,na wewe unateka kwenda nayo nyumbani? Tunaitaji Chadema itukomboe
 
Yes, ukiwa mjinga usiyeelewa chochote kinachoendelea ndani ya nchi yako ni lazima uta enjoy safari nzima.
Yaani wewe ni sawa na ile idadi ya JK ya 80% ya watanzania hawaelewi kinqchoendelea yaani akili yao sawa na upepo unakovumia na bendera huko huko.
msongo wa mawazo na mihemko inawaharibu na kuwatesa sana vijana, dah pole gentleman,

wewe ili upate ahueni,
ni muhimu kuskiliza ule wimbo wa CCM inawenyewe,
wimbo huu utakupa nguvu na kukufanya ujitegemee na uwe na bidii zaidi,

na for sure kutoboa maisha ni nje nje ukizidisha juhudi katika kazi :NoGodNo:
 
Mnatumia bwawa moja,yaani nyani anakunywa hapo,punda,na wewe unateka kwenda nayo nyumbani? Tunaitaji Chadema itukomboe
Gentleman,
ipo mifumo mizuri ya kusafisha maji kwenye matanki maalumu,
na kuyafanya maji hayo yawe salama kwa matumizi ya kawaida ya binadamu,

hata hivyo,
maji hayo katika mabwawa maeneo mbalimbali nchini ni vema yakatumika kama fursa ya kiuchumi kwa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, mabwawa madogo ya samaki, ujenzi n.k.

katika maeneo mengi pia kuna mabwawa na lakini pia kuna maji safi na salama ya bomba:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom