Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani unanichokoza nakukwepa lakini unanitafuta, ujue nitajibu kwa kipimo cha juu snsasa mbona muerevu ana mihemko na makasiriko tu kwasababu ya nyimbo nzuri za uhamasishaji za ccm,
hii ni ajabu sana aise, dah!![]()
Nadhani unanibembeleza nikulime tusi, mimi nikichokozwa huwa najibu kwa kipimo cha juu zaidi matokeo yanakuwa mabaya sn kwa upande wako.alaa,
unataka kuporomosha radi zito mtaalamu?
leo jumapili bana kausha
leo ni siku ya kuskiliza ngoma za ccm tu
gentleman,Kwa waliopo kwenye mfumo wataona mambo sawa kabisa, ila kiukweli mambo mazito sana

tafadhali sana gentleman,Nadhani unanibembeleza nikulime tusi, mimi nikichokozwa huwa najibu kwa kipimo cha juu zaidi matokeo yanakuwa mabaya sn kwa upande wako.

Nimekuvumilia muda mrefu lakini naona unaendelea naenda kuishiwa uvumilivu nikushughulikie vizuri, naomba asije mtu inbox kukuombea msahama sijui mzee Netanyahu msamehe sitakuwa na muda wa kusikiliza hata kdg, nadhani matokeo kwa upande wako yakuwa ni mabaya sn.tafadhali sana gentleman,
leo ni jumapili,
ni muhimu kua na mapumziko yenye hamasa tulivu ya burudani, ambayo kiukweli uataipata kirahisi sana ukiskiliza nyimbo za hamasa za CCM,
nikuhakikishie lazima utajikuta umehamasika na kujiepusha kabisa na suala la kutaka kuporomosha tusi zito mbele ya wadau wa JF![]()
Ndio hoja uliyoona inafaa wewe kuandika. PUMBAVU!Ondoka kwa mzee kwanza
Chama auawanachama wanapokosea tuwe wakweli na kutoka suluhisho kuliko kuwa watetezi wasio na tija!gentleman,
huna data?![]()
ni muhimu kueleza ukweli gentleman,Chama auawanachama wanapokosea tuwe wakweli na kutoka suluhisho kuliko kuwa watetezi wasio na tija!

Wee jamaa zoba sana. Zwazwa kwa msemo wa KENZYNyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"
Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.
Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?
Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mlisema umeme utakuwa wa uhakika na gharama kupungua,hili unalisemaje mwanaccm?!!ni muhimu kueleza ukweli gentleman,
serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan imetengeneza mazingira mazuri na wezeshi sana kwa biashara kufanyika kwa ufanisi kote nchini,
na kwa hali ya uchumi wa mtu moja moja ilivyoimarika, popote ukifungua na ukiweka biashara ya aina yoyote ile lazima utappata wateja tu, soko lipo tena la uhakika,
afya, elimu, maji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, miundombinu n.k vimeimarishwa sana katika maeneo yote ya nchi, kitu ambacho imekua ngumu zaidi kwa wapotoshaji kusema uongo wao na wameishia kwenye no reform no elections tu![]()
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"
Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.
Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?
Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Yes gentleman,

Maza anawapenda wasanii na usaniii usaniii 😄
nadhani kila mwananchi ni shuhuda kwamba, hakuna malalamiko kuhusu nishati hiyo tena. hiyo ni kuonyesha kwamba serikali sikivu ya ccm, imedhamiria kutatua changamoto hiyo kabisa,Mlisema umeme utakuwa wa uhakika na gharama kupungua,hili unalisemaje mwanaccm?!!

Yes gentleman,
Dr.Samia Suluhu Hassan,
is the champion of peace and reconciliations, the champion of environmental protections, the champion of Tourism, education, health and everything,
yote hayo halafu mama hata haringi![]()
Kabisa aiseee... Tunawashukuru wananchi wameona ni Bingwa of Comedy. Hongera zake kwa kweli.Yes gentleman,