Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

Duh unasafiri na v8 alafu unapita barabara ya vumbi na mashimo
Ukifika bado lazima uchoke ๐Ÿ˜„

Ova
kwa nyimbo za ccm huwez kua na uchovu hata kidogo, na sio v8 tu hata kwa basi tu kwa mfano kidia one au Ester, huwez choka gentleman
 
Kabisa aiseee... Tunawashukuru wananchi wameona ni Bingwa of Comedy. Hongera zake kwa kweli.
shukran sana gentleman,

na kwenye uchaguzi mkuu wa Oct mwaka 2025 anakwenda kua champion pia, sawa?

na ukamwambie na mwenyekiti wa chama chako kuhusu hilo, right?๐Ÿ’
 
Unakimbia Swali!
 
Kila moja ana uhuru wakutoa maoni na kuheshimiwa ila kuna maoni mengine ni yakisenge sana โ€ฆโ€ฆ. Mwisho wa kunukuu
 
Kila moja ana uhuru wakutoa maoni na kuheshimiwa ila kuna maoni mengine ni yakisenge sana โ€ฆโ€ฆ. Mwisho wa kunukuu
relax gentleman bila kua na mihemko, licha ya kua,
haki na uhuru wa kutoa maoni ni ina exceed insults ๐Ÿ’
 
shukran sana gentleman,

na kwenye uchaguzi mkuu wa Oct mwaka 2025 anakwenda kua champion pia, sawa?

na ukamwambie na mwenyekiti wa chama chako kuhusu hilo, right?๐Ÿ’
uchaguzi hata ukiweka Nazi Mbata na serikali ikaamua kushinda nazi inashinda. Mi nadhani angeanza na kugombea kwanza ndani ya chama si kujipitisha sababu ya comedy na anasema anadharaulika. sasa hawa madogo ndo wamekuja mtusi kabisa. naye kwa kuwa hafikirii anashukuru kuitwa Bingwa wa Comedy. ๐Ÿ˜€
 
Gentleman,
ni wananchi wote wa Tanzania ndio wanamfanya Dr.Samia Suluhu Hassan kua champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania.

Inafahamika wazi Tanzania,
Africa na duniani kote kwamba Dr Samia Suluhu Hassan ndio kiongozi champion wa wa amani na maridhiano, utalii, mazingira, miundombinu, afya, elimu n.k Africa na duniani kote,

mengine ni porojo tu na story za pata potea ๐Ÿ’
 
wamemkejeli CHAMPION OF COMEDY -
professional entertainment consisting of jokes and sketches, intended to make an audience laugh.
"a cabaret with music, dancing, and comedy"
 
Inakuwa mbaya,yenye kuboa na ndefu saana.
 
wamemkejeli CHAMPION OF COMEDY -
professional entertainment consisting of jokes and sketches, intended to make an audience laugh.
"a cabaret with music, dancing, and comedy"
huo ni mwanzo tu gentleman,
kila kundi la kijamii, kiuchmi na kisiasa, nchini linakwenda kumtangaza Dr.Samia Suluhu Hassan kama champion wao,

na hitimisho la makundi yote sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchmi, yatamfanya na kumtangaza Dr Samia Suluhu Hassan kua champion wa uchaguzi mkuu wa KIHISTORIA Tanzania, litakua ni mapema October mwaka huu 2025.๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ