Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

Wewe ndio unafikiria kinyume chake , maana huna hoja za kusikilizwa,kweli mtu na akili zake akae kwenye Hilo dude asikilizwe,tuwachanechane tuwatupe,harambee,Harambe mama,harambee!Watu hamtabadilika hadi kupatwa kwa jua!
kumbe uko vizuri kiasi hicho kwenye magoma ya CCM we mwehu wewe dah 🀣
 
🀣 kumbafu sana dah!,
kumbe vijana mko vizuri sana kwenye magoma ya CCM halafu mnakuja hapa kumbwelambwela kwa wadau ati ng'we ng'we ng'we vijembe 🀣

alaaa!
 
Ndugu mwandishi Sisi kama taifa la dunia ya tatu unauliza tungekua wapi bila ccm? Tungekua dunian ya pili au ya Kwanza mmetukwamisha Miaka yote hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…