Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe uko vizuri kiasi hicho kwenye magoma ya CCM we mwehu wewe dah 🤣Wewe ndio unafikiria kinyume chake , maana huna hoja za kusikilizwa,kweli mtu na akili zake akae kwenye Hilo dude asikilizwe,tuwachanechane tuwatupe,harambee,Harambe mama,harambee!Watu hamtabadilika hadi kupatwa kwa jua!
🤣 kumbafu sana dah!,Astagafirulaah laana tulah! 😬😬 Hzo nyimbo ukisikiliza unaweza Piga Mzinga mkali sana tukusahau nyimbo za CCM zimejaa UDHALIMU,WIZI, UFISAFI, DHULUMA,GILBA,VIJEMBE,UNAFIKI na UKANDAMIZAJI wa hali ya Juu
Utasikia "Wacha Waisome nambaaa hee!!
Nenda shamba ukalime acha ibadaLabda mpina 🐒
Kabisa anaamua awe anawachekesha?🤣 Safi sana.infact,
ni katika jitihada za kufanya Tanzania iwe miongoni mwa mataifa ya watu wenye furaha zaidi 🐒