mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Kweli kabisa ila zamani safari za usiku ilikua Bomba sana,unapima na oil kabisanimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
daa acha tuu apa naona kama nishafikaMi nakumbuka majuzi hapa nilisafiri na nikaa na Esther. Niliifurahia sana hiyo safari na kwa kweli ilikuwa fupi mno.
Kwa ndege sijawahi kukaa na mchuchu kwa sababu huwa napanda daraja la kwanza unless labda iwe nimepanda FastJet kwenda mikoano huko.
ndiyo tupo Moro na aka kamvua sijui ipo Dar?Angalia asije akasitisha anapokwenda mkashuka njiani
mkuu kwa huu Muda nipo Moro Dar tukifika usiku huyu lazima aingie kwenye anga tuuKweli kabisa ila zamani safari za usiku ilikua Bomba sana,unapima na oil kabisa
Ndio maana kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kusafiri peke yakenimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
ndiyo tupo Moro na aka kamvua sijui ipo Dar?
hamna ata dalili ya manyunyu mkuuDar pako dry!
Mtafika SAA 4 hivi kazi Kwako.Utupe mrejesho.Anza kumshika shika mkonomkuu kwa huu Muda nipo Moro Dar tukifika usiku huyu lazima aingie kwenye anga tuu
Hahahaa hii kaliNdio maana mama chanja wangu hasafiri peke yake,lazima niende nae au nimpe powerbank (mtoto) akae nae ,tena powerbank yangu kwa umbea ikifika tu home bila kuuliza itanipa hadithi yote,
ukiona mtu anafurahia kukaa siti 1 na mwanamke kwenye bus jua huyo ni domo zege tu
kwa kuwa ndiyo wanawake walaini kuliko wote ndiyo maana wanafanyiwa hivyoNdio maana kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kusafiri peke yake
hamna ata dalili ya manyunyu mkuu
Nilikaa na mtoto mmoja wa Kiswiss kwenye Swissair alikuwa anaenda kufanya kazi Mbeya, kwao Zurich. Nilikaa naye kutoka Zurich mpaka Dar. Mimi nilikuwa nakuja likizo. Alikuwa mcheshi sana. Akawa anataka mtu wa kujifunza Kiswahili naye. Bahati nzuri au mbaya nikawa busy sana kwenye mambo ya likizo yangu hata sikumfuatilia sana.
Na hivyo safari ndefu siku hizi ni siku mbili mtafaidi