Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

mzibua chemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
476
Reaction score
412
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
 
Ndio maana mama chanja wangu hasafiri peke yake,lazima niende nae au nimpe powerbank (mtoto) akae nae ,tena powerbank yangu kwa umbea ikifika tu home bila kuuliza itanipa hadithi yote,

ukiona mtu anafurahia kukaa siti 1 na mwanamke kwenye bus jua huyo ni domo zege tu
 
Kweli kabisa ila zamani safari za usiku ilikua Bomba sana,unapima na oil kabisa
 
Mi nakumbuka majuzi hapa nilisafiri na nikaa na Esther. Niliifurahia sana hiyo safari na kwa kweli ilikuwa fupi mno.

Kwa ndege sijawahi kukaa na mchuchu kwa sababu huwa napanda daraja la kwanza unless labda iwe nimepanda FastJet kwenda mikoano huko.
daa acha tuu apa naona kama nishafika
 
Nilikaa na mtoto mmoja wa Kiswiss kwenye Swissair alikuwa anaenda kufanya kazi Mbeya, kwao Zurich. Nilikaa naye kutoka Zurich mpaka Dar. Mimi nilikuwa nakuja likizo. Alikuwa mcheshi sana. Akawa anataka mtu wa kujifunza Kiswahili naye. Bahati nzuri au mbaya nikawa busy sana kwenye mambo ya likizo yangu hata sikumfuatilia sana.
 
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
Ndio maana kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kusafiri peke yake
 
Ndio maana mama chanja wangu hasafiri peke yake,lazima niende nae au nimpe powerbank (mtoto) akae nae ,tena powerbank yangu kwa umbea ikifika tu home bila kuuliza itanipa hadithi yote,

ukiona mtu anafurahia kukaa siti 1 na mwanamke kwenye bus jua huyo ni domo zege tu
Hahahaa hii kali
 
Nilikaa na mtoto mmoja wa Kiswiss kwenye Swissair alikuwa anaenda kufanya kazi Mbeya, kwao Zurich. Nilikaa naye kutoka Zurich mpaka Dar. Mimi nilikuwa nakuja likizo. Alikuwa mcheshi sana. Akawa anataka mtu wa kujifunza Kiswahili naye. Bahati nzuri au mbaya nikawa busy sana kwenye mambo ya likizo yangu hata sikumfuatilia sana.

dah wewe ulipiga teke bakuli la dhahabu vijana wa sasa wanasema hivyo, au ulipishana na gari la mshahara
 
Back
Top Bottom