momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Hapa ndipo kwenye mahitaji yako!!hawana shida mkuu na chemba unazibua fresh aisee daa acha tuu
Huko kwengine zilikua mbwembwe tu!!chunga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo kwenye mahitaji yako!!hawana shida mkuu na chemba unazibua fresh aisee daa acha tuu
nichunge nini mkuuHapa ndipo kwenye mahitaji yako!!
Huko kwengine zilikua mbwembwe tu!!chunga sana
Mwanamke anatongozwa popote Ni ujasiri wako Tu,
Unaweza kuwa naye bar na chooni watu wakatongoza,,
Labda awe na shape ya sanam la Michelin,
Kidogo naweza vumilia tukasafiri salama!
hahahahaaaa!!!!Baada ya muda unamwita mazingira murwaaaa!
Mtoto mkali ana kucha Bandia!!!!......kumbe nimechelewa.Kuna mwanangu pia alikaa seat moja na mtoto mkali,sema Alisumbuliwa sna na hyo Demu...
Hizi kucha zao za BANDIA zilimpa kazi sana mwana,maana demu alikua anamkwaruza nazo Kinamna flan hv,mpk ikabd jamaa avunge Kalala ili kukwepa huo mtihani
So always ktk safari ukikutana na mtoto mkali nabidi utulize mihemko
tulipumzika sinza kwa Remy sliver rado lorge mkuuMrejesho wa baada ya kushuka dar mkuu
Nyie Wasamaria ndo huwa mnajinyonga pindiTukiachilia mbali suala la soksi, ule ujasiri wa kukutana na mtu siku ya kwanza na kupiga kazi unatoka wapi? Nachukulia suala la mapenzi very serious sio kila mtu unaenda nae na sio suala la yeye kutaka, ntanunua kila kitu tutapiga story nta clear bill kama jamaa yangu kwenye safari yake lakini haimaanishi tupige kazi.
ila starehe garama uwezi taka mmliki mtoto mkali alafu usiwe na ela mimi apa kwa kujiendekeza tuu kujiproud ishakata 40 fasta
mkuu apple tuu akavua? mbona huyo alikua mrahisi sana?Mkuu umenikumbusha mbali sana, niliwahi kusafiri kutoka Dar kwenda Mwanza nilikaa na binti mzuri hatari, huwa sifanyi kosa mpaka gairo kila mtu kachuna wakati huo anasinzia kwa kuegemea bega langu, kaka nilikuwa mnara hatari!! Kufika Dodoma nikanunua apple [emoji519] nje nikamletea, oh my God tulipofika mwanza....................
nini kimekushitua hivyo mkuuHahahaha uuuuuu wiiiii noma jamani umeuwa band
Naweza kukufukulia email yake nikupe. Sijui utamuanzaje. This was back in 2012 nilivyokuwa nakuja bongo. Sijui hata kama hata yupo bongo.Nipe mawasiliano yake nimfundishe[emoji45]
Ayaaaaaaaah!!![emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji30] [emoji30]Naweza kukufukulia email yake nikupe. Sijui utamuanzaje. This was back in 2012 nilivyokuwa nakuja bongo. Sijui hata kama hata yupo bongo.
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
yap. we kaa uinjoy hpo na hyo dem siti pemben thn na wko sikumoja atasafiri tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
Ha ha haNdio maana mama chanja wangu hasafiri peke yake,lazima niende nae au nimpe powerbank (mtoto) akae nae ,tena powerbank yangu kwa umbea ikifika tu home bila kuuliza itanipa hadithi yote,
ukiona mtu anafurahia kukaa siti 1 na mwanamke kwenye bus jua huyo ni domo zege tu
Ha haaaWanaume wengine bwana. sasa bill gani hapo njian? chips kuku na soda? hicho kisoda na kichps kuku ndio unakuja kulialia hapa?
na nyie wadada angalieni wanaume wanawapa ofa,