Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

Mwanamke anatongozwa popote Ni ujasiri wako Tu,

Unaweza kuwa naye bar na chooni watu wakatongoza,,

Labda awe na shape ya sanam la Michelin,
Kidogo naweza vumilia tukasafiri salama!

Nilikuwa na maanisha kuomba tunda la kati....na sio kuanzisha mahusiano......

Yaani umemkuta tu mwanamke kwenye siti ya basi na kuanza kuchombeza ili upate tunda la kati kwa muda huo huo.....
 
Mtoto mkali ana kucha Bandia!!!!......kumbe nimechelewa.
 
Kuna mkaka niliwah kukaa nae siti moja aisee safari ilikua fupi aisee nilitamani niendelee tu ila ndio hivyo nikamuacha aende zake
 
Nyie Wasamaria ndo huwa mnajinyonga pindi
mwanamke akiku-disappoint kidogo tu.

Utachukuliaje mapenzi so serious hivyo?
Na kazi uichukulieje sasa?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, niliwahi kusafiri kutoka Dar kwenda Mwanza nilikaa na binti mzuri hatari, huwa sifanyi kosa mpaka gairo kila mtu kachuna wakati huo anasinzia kwa kuegemea bega langu, kaka nilikuwa mnara hatari!! Kufika Dodoma nikanunua apple [emoji519] nje nikamletea, oh my God tulipofika mwanza....................
 
mkuu apple tuu akavua? mbona huyo alikua mrahisi sana?
 
Naweza kukufukulia email yake nikupe. Sijui utamuanzaje. This was back in 2012 nilivyokuwa nakuja bongo. Sijui hata kama hata yupo bongo.
Ayaaaaaaaah!!![emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji30] [emoji30]
 

Umeniuwa hapo ulipo sema 'nimeclere'
 
yap. we kaa uinjoy hpo na hyo dem siti pemben thn na wko sikumoja atasafiri tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha
 
Wanaume wengine bwana. sasa bill gani hapo njian? chips kuku na soda? hicho kisoda na kichps kuku ndio unakuja kulialia hapa?

na nyie wadada angalieni wanaume wanawapa ofa,
Ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…