Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

inakuwa ngumu sana upande na mmama mwenye watoto wadogo wanalia na kula humo basini na kila saa ukute anapokea simu na kuongea kwa makelele huku mtoto analia mara akuombe umpakatie mtoto wengne wanakulalia yelewiiiiiiiiiiiii ukute una kausingizi ulikeshea jana yake utajuutra
 
Bora huyo kuliko upande na anae nuka kikwapa au mdomo halafu sa ukute ni mwongeaji sana du! Wenzako wanaenjoy safari ww unaomboleza kwenye city yako kimya kimya hahaha!
 
hahahahaha umenichekesha sana mkuu hee
 
Bora huyo kuliko upande na anae nuka kikwapa au mdomo halafu sa ukute ni mwongeaji sana du! Wenzako wanaenjoy safari ww unaomboleza kwenye city yako kimya kimya hahaha!
Hahaha ukute upo kwenye ngorika lina hadi vigoda utsoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…