Ukisafiri utakuta mke wako ametembea na watu wengine

Hapa kuna cha kujifunza
 
Komando wa Tanzania yani JW awe na missions nje ya nchi kwa mwaka mmoja alafu likizo siku 7 ?

HAIINGII AKILINI
Huko nje wanafanya nini labda kama tungekuwa na NAVY Fleet huko Pacific and Atlantic ocean
 
KWA mke kipi kinamfunga kuliwa
Sema nyie hamjui wao pia wako Kama wewe mwanaume. Yaani jinsi unavyoweza tamani mke ama mpenzi wa rafiki yako kipenzi naye anatamani pia yaani Kama wewe pia. Anaanza kujichangamsha kwake. Anaanza kumuomba ushauri ili apate Ile aura take sijui Kama unanielewa lakini. Wanapanga mbali. Enzi fulani wake za watu walikuwa wakitumiwa tiketi za ndege to and from mwanza to dar wanaliwa wanarudi.
Unataka udhibiti rafiki asiliwe ,funga Ile wanagandana Sasa ama muandikie bodigadi umlipe Mana posi is a life or death thing.

Mwanamke kuliwa katika ndoa Ni sawa kutaka kufanya biashara bila ya hasara ama ulime uvune vyote pasipo kuliwa na ndege mbona simple concept ya nature sema watu wanajifanya kuwa hawataki kuielewa.


Sema bana mind zetu negative sides hazitaki kuziona ama kuzisikia.
Mie nimekuta stori kuwa Bibi alikuwa akiletewa stori kuwa nimemuona fulani wapo na fulani so babu ana mchepuko. So Bibi anamaindi hao wanaomletea taarifa kuwa waache kumpigia kelele Kama vipi na wao wakampe.
 
Tufanyaje sasa ndugu..hakuna namna
Mbona Kama unakubali kinyonge accept it confidently utakuwa na amani mno bana.

Anza ku visualize mabaya kama umemfumania chumbani kwako anabinuliwa ili utengeneze immunity imara ili siku ukikutana nayo yawe Ni ya kawaida. Yaani visualize kabisa unamuona anapigwa anabinuliwa naye anagugumia kwa utamu mkubwa mno unabakia unacheka unasema this is creation. It's beyond our mind of understanding unayaacha ili uishi kesho ama unataka kuifia mbususu Kama nyegere sijui yule mnayama hata Jani likigusa tupu ya jike lake Ilo Jani litapigwa na kung'olewa kabisa ili lisiwepo Mana lisije likamgusa tena
 
Mke kuliwa hyo ni pie , hata ushinde naye Sana Sana utasaidia kupunguza round za yeye kuliwa , Ila kuchapiwa hyo kawaida Sana ... Mfalme Daudi mwenyewe alichapiwa mke wake na yeye akamchapia Askari wake Leo hii wewe ndo ujifanye unajua kulinda 😁😁😁
 
Muhimu ni kumuomba MUNGU tu akuepushe usishuhudie akichepuka.
Ukitaka kulijua hilo fanya track call system ya kufuatilia namba yake ya simu mbona utooa.
Mimi namuomba Mungu azidi kunifunika na pazia nisijue.
Nilishajiandaa Kisaikoloji pia hii itasaidia nisiingie jela kwa upumbavu maadamu haina makombo.
 
Eti mtu anaogopa kuoa pisi kali eti ataliwa, nani kakuambia wasio pisi kali awaliwi.
Oa furaha ya moyo kuliwa kupo tu. Kama utaki kupata hasara usifanye biashara. Utaki kuliwa usioe.
 
Hapo kuomba MUNGU ndio point. Yaani Mambo mengi yaani kila Jambo lipo Kama lilivyo na huwa Ni nje ya upeo wetu ww fahamu. Huwa Kuna sababu ya kila Jambo kutokea.
 
Eti mtu anaogopa kuoa pisi kali eti ataliwa, nani kakuambia wasio pisi kali awaliwi.
Oa furaha ya moyo kuliwa kupo tu. Kama utaki kupata hasara usifanye biashara. Utaki kuliwa usioe.
Wapo mpaka wanakuaga kuwa leo naenda kwa mme mwenzako naye ananihitaji so are you ready
 
KWA mke kipi kinamfunga kuliwa

Kama sio Tabia yake na hulka yake hatoona ulazima wa kuliwa nje na faida zaid ya kuendelea kujiheshi kwake kama mke mwenye hofu na wewe mmewake
 

Heheheh mkuu hakuna immunity kwenye hizi mambo acha kabsa mkuu usiombe
 

Kulinda ningumu kama mkewako ni malaya ni malaya tu No maraa waaa [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…