Ukisafiri utakuta mke wako ametembea na watu wengine

Ukisafiri utakuta mke wako ametembea na watu wengine

Wake zenu ndo wanataka nyie mnapiga wahuni.unajua huwa wanawaambiaje mi nakupa ila ukishikwa utajua mwenyewe muhuni anasema we nipe mi sishikwagi ninayo kizizi [emoji23][emoji23][emoji23]umkimshika mama anaenda kwingine hivyo hivyo mpaka mke wako unamkuta anakatiwa na mkubwa wa kazi unarudi home unampiga risasi na wewe uwoga wa jela unajimaliza...swala ni moja akichepuka achana nae hafai

[emoji23][emoji23] Daah mbona balaa mkuu
 
Kwani akiliwa wewe huko uliko huli? Mbona unakuwa mbinafsi sana mkuu? Yaani wewe ule lakin yeye asiliwe?
 
Umeeleza upande wa mwanamke tu!!, Je huko huyo Kaka yako anakomaa na ugwadu wake??. Hata wewe usiyesafiri bado mkeo analiwa vizuri Sana, sema mwambie aheshimu kitanda cha mmewe....
 
Umeeleza upande wa mwanamke tu!!, Je huko huyo Kaka yako anakomaa na ugwadu wake??. Hata wewe usiyesafiri bado mkeo analiwa vizuri Sana, sema mwambie aheshimu kitanda cha mmewe....

Mkuu nimwambie nani teka yaan mi nimfate mke wa mtu nimwambie aheshimu kitanda cha mumewe duuh mkuu seriously
 
Suala la kuchepuka ama kutochepuka Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Kwa mfano mwanamke unaweza kumpa kila kitu, chumbani unamfikisha kbsa maana show unasimamia ukucha ila bado akachepuka na shamba boy wako.
Au unaweza kuwa maskini huna lolote afu chumbani unapiga kimoko Chali, na mkeo akawa muaminifu kwako hachepuki hata sekunde.
Yote yanategemea na jinsi mtu anavyomrate mume/ mke wake na ndoa yenywewe kwa ujumla.

Ila Ukweli usemwe tu jamani, asilimia kubwa ya wanaume wanaoishi mbali na wake zao wanagongewa Sana.Ukitaka kuamini nachosema ebu nenda vijijini kwenye familia ambazo mume anaishi mbali tuseme Yuko mjini.Hawa wanawake wanaliwa Sana na wanaume especially wale wanawake ambao hawana hofu na Mungu.

Kama mkeo Yuko kijijini na wewe upo mjini ebu jaribu siku Moja umfanyie " impromptu visit" nyakati za Usiku uone sebene utakalokutana nalo.
Aisee Kama hutomkuta mkeo na mwanaume chumbani kwenu uje uniite mbwa nimekaa pale.
 
Back
Top Bottom