Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafute pesa tu ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwaka bado mchanga tusije kusuntanaHabar wana jamii forums, natumaini wote niwazima mungu anaendelea kutupigania.
Jaman NASISITIZA na KUSISITIZA kama umeondoka nyumbani kwako na kusafiri kikazi na kumuacha mkeo bhas niamini mimi umewaachia wauni wengine wale na niamini unaesomaa hii mada kama upo mbali na mkeo jua analiwa. Ukubali ukatae we jua hivyo mbaka utakapo rudi tofauti na hapo fanya maamuzi magumu nitatoa mfano.
Nina ndugu yangu ambae ni kakaangu ambae ni mwanajeshi Commando kabsa now yupo njee ya nchi kidogo wana mission yao, wapo huko wiki moja iliopita.
Nilikuwa nae alirudi tuliongea mengi sana lakin kitu kimoja ambacho kilinishangaza aliamua kuachana na mkewake kabsa na kudeal na watoto wake tu bhas mbaka leo skujua Kwanini aliamua kuchukua maamuz yale ghafra bas mbaka leo anaishi na kuwalea watoto wake na hataki kuskia habar ya mke.
Sasa leo ndo nimejua kwanini braza ataki mke hapa ninapoishi nimechukua apartment sasa nina jirani yangu ambae anakaa flow ya chini huyu mwamba na yeye ni mwanajeshi ila nayeye yupo njee ya nchi kwa mission maalumu sasa hawa wakiendaga mission njee wanakaa mwaka wakirud atakaa wiki ndo likizo yake anasepa mbaka tena mwaka ndo maisha yao.
Sasa mwamba kaoa anamke na mkewake saiv ni mjamzito na mwamba kaondoka kitambo so kamuacha mkewake lakin huku hali ni ya hatar kuna jamaa ambae ni bodaboda ambae anambeba sana huyu dada kila siku sasa kuna kitu kinaendelea huyu boda nahsi anakula mzigo sababu huyu boda katika wiki lazima aje kwa huyu dada nashuhudia sana na akija anaingiza pikipiki ndani anaipaki then anazama ndani kwa manzi na kutoka ni baada ya masaa mengi kupita akiingia jion kutoka ni usiku unakuta saa 5 ndo anasepa na huwa namchora sana.
Na chakushangaza hawana undugu wowote na mke wa mjesh wala mjeshi mwenyew malanyingi namkutaga kijiweni na wenzake sasa hii hali ya kuja kwa huyu mke wa jirani yangu imezid nasio kawaida wanawake sio kabsa huyu boda anakula sana huyu dada sababu mmewake kaondoka kitambo njee.
Hataleo nimetoka asubuh kuna vitu nilikuwa naenda kuchukua nafika kwenye parking ya magar nakuta na yeye kapaki pikipiki yake nilivoina tu pikipiki nikajua eheeh kumekucha huko na ukizingatia leo asuh kimvua kilikuwa kinapiga nikachukua gari nikaondoka narud mida ya saa 5 asubuh bado nakuta boda ipo parking na nilitoka saa 12 asubuh niksema kweli shughur sio ndogo kwasababu huyu dada mmewake Kamuachia kilakitu mbaka gari mbili zipo kaziacha zimepark lakin dada kamganda bodaboda.
Jamani hawaviumbe wa kike nishida lakini ndio hivo ni kuishinao kwa akili sana ila ndoivo ngoja tuone mwisho wake utakuaje ila namuombea mungu boda asidakwe maana heeh sjui tutasafilisha au tutazika hapahapa.
😅😅 Basi endelea kushuhudia mwamba akifokonyoa mzigo..Mkuu nimwambie nani teka yaan mi nimfate mke wa mtu nimwambie aheshimu kitanda cha mumewe duuh mkuu seriously
Hakuna cha tabia ya mtu, mwanamke yoyote ukimwachia upenyo huru atagongwa tu-hamna Mwanamke mgumu mbele ya mwanaume mwenye nia.Nikweli sometimes ni tabia ya mtu
Mkuu ebu tuambie Ukweli hatutaenda kukusemea kwa mjeda😂Nilishakaa nyumba moja na mjeda ila vyumba tofauti(Ngomeni). Mjeda alikuwa anaenda job miezi 6 hajarudi, na pale wapangaji tulikuwa wawili tu. Mimi na mjeda. Niliona yule mwanamke wa mjeda alivyokuwa akisumbuka hadi siku moja akanipa simu yake kumsetia email. Kwenye YouTube Search nikakutana na 'Keyword' 'Jinsi ya kumtongoza mwanaume' nikajua tayari natafutwa hapa.... 😀
Ila nilikaza mzee 'Tamaa mbele, mauti nyuma'.
Suala la kuchepuka ama kutochepuka Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Kwa mfano mwanamke unaweza kumpa kila kitu, chumbani unamfikisha kbsa maana show unasimamia ukucha ila bado akachepuka na shamba boy wako.
Au unaweza kuwa maskini huna lolote afu chumbani unapiga kimoko Chali, na mkeo akawa muaminifu kwako hachepuki hata sekunde.
Yote yanategemea na jinsi mtu anavyomrate mume/ mke wake na ndoa yenywewe kwa ujumla.
Ila Ukweli usemwe tu jamani, asilimia kubwa ya wanaume wanaoishi mbali na wake zao wanagongewa Sana.Ukitaka kuamini nachosema ebu nenda vijijini kwenye familia ambazo mume anaishi mbali tuseme Yuko mjini.Hawa wanawake wanaliwa Sana na wanaume especially wale wanawake ambao hawana hofu na Mungu.
Kama mkeo Yuko kijijini na wewe upo mjini ebu jaribu siku Moja umfanyie " impromptu visit" nyakati za Usiku uone sebene utakalokutana nalo.
Aisee Kama hutomkuta mkeo na mwanaume chumbani kwenu uje uniite mbwa nimekaa pale.
😂😂😂hata sikuogopi😅😅 Ndio nimekufumbua Sasa,jiandae kufunguliwa uzi
Hayo mambo yanataka roho ya chuma kuyavumilia mkuuMambo nimengi mkuu ombamungu akuepushe usikumbane nayo maana ni kisanga na maumivu yake weacha tu watu wapige risasi mi hata sishangai
Wengi wakisafiri huwa wanatafuta michepuko au wanaenda machimbo ya malaya kujipozaUkisafir kikazi huwa unajiaandaa kisaikojia mkuu inaonekana
Jamaa anapindisha pindisha Ukweli ila Si tunajua alipita humo😂[emoji23] kala bhana
JF imejaa watoto wa shule. Kwani hujalipiwa Ada wewe urudi shuleni?Ukiwa nae hujasafiri ndio haliwi?
Unatumia mifano ya hao kaka zako wanaokaa nje mwaka kuhalalisha mawazo yako mgando dogo?
Kuliwa ni hulka ya mtu tu, anaweza kuliwa uliye nae chumba kimoja kutwa.