Ukisafiri utakuta mke wako ametembea na watu wengine

Muhimu ni kumuomba MUNGU tu akuepushe usishuhudie akichepuka.
Ukitaka kulijua hilo fanya track call system ya kufuatilia namba yake ya simu mbona utooa.
Mimi namuomba Mungu azidi kunifunika na pazia nisijue.
Nilishajiandaa Kisaikoloji pia hii itasaidia nisiingie jela kwa upumbavu maadamu haina makombo.

Mungu aendelee kukusimamia
 
Eti mtu anaogopa kuoa pisi kali eti ataliwa, nani kakuambia wasio pisi kali awaliwi.
Oa furaha ya moyo kuliwa kupo tu. Kama utaki kupata hasara usifanye biashara. Utaki kuliwa usioe.

Ukosahihi ila kuliwa ni tabia ya mwanamke mwenyew tu
 
Hapo kuomba MUNGU ndio point. Yaani Mambo mengi yaani kila Jambo lipo Kama lilivyo na huwa Ni nje ya upeo wetu ww fahamu. Huwa Kuna sababu ya kila Jambo kutokea.

Exactly mkuu sikupingi
 
Ipo bana just try to immunize yourself mkuu.

Unaweza kujijenga kisaikolojia sawa na ku make sure una be prepared for anything kwa mkeo lakin mkuu usiombe ugongewe na ukafumania or ukajua heeh utakuja kuniambia one day kwamba immunity it does work au ni vip
 
Habar wana jamii forums, natumaini wote niwazima mungu anaendelea kutupigania.

Jaman NASISITIZA na KUSISITIZA kama umeondoka nyumbani kwako na kusafiri kikazi na kumuacha mkeo bhas niamini mimi umewaachia wauni wengine wale na niamini unaesomaa hii mada kama upo mbali na mkeo jua analiwa. Ukubali ukatae we jua hivyo mbaka utakapo rudi tofauti na hapo fanya maamuzi magumu nitatoa mfano.

Nina ndugu yangu ambae ni kakaangu ambae ni mwanajeshi Commando kabsa now yupo njee ya nchi kidogo wana mission yao, wapo huko wiki moja iliopita.

Nilikuwa nae alirudi tuliongea mengi sana lakin kitu kimoja ambacho kilinishangaza aliamua kuachana na mkewake kabsa na kudeal na watoto wake tu bhas mbaka leo skujua Kwanini aliamua kuchukua maamuz yale ghafra bas mbaka leo anaishi na kuwalea watoto wake na hataki kuskia habar ya mke.

Sasa leo ndo nimejua kwanini braza ataki mke hapa ninapoishi nimechukua apartment sasa nina jirani yangu ambae anakaa flow ya chini huyu mwamba na yeye ni mwanajeshi ila nayeye yupo njee ya nchi kwa mission maalumu sasa hawa wakiendaga mission njee wanakaa mwaka wakirud atakaa wiki ndo likizo yake anasepa mbaka tena mwaka ndo maisha yao.

Sasa mwamba kaoa anamke na mkewake saiv ni mjamzito na mwamba kaondoka kitambo so kamuacha mkewake lakin huku hali ni ya hatar kuna jamaa ambae ni bodaboda ambae anambeba sana huyu dada kila siku sasa kuna kitu kinaendelea huyu boda nahsi anakula mzigo sababu huyu boda katika wiki lazima aje kwa huyu dada nashuhudia sana na akija anaingiza pikipiki ndani anaipaki then anazama ndani kwa manzi na kutoka ni baada ya masaa mengi kupita akiingia jion kutoka ni usiku unakuta saa 5 ndo anasepa na huwa namchora sana.

Na chakushangaza hawana undugu wowote na mke wa mjesh wala mjeshi mwenyew malanyingi namkutaga kijiweni na wenzake sasa hii hali ya kuja kwa huyu mke wa jirani yangu imezid nasio kawaida wanawake sio kabsa huyu boda anakula sana huyu dada sababu mmewake kaondoka kitambo njee.

Hataleo nimetoka asubuh kuna vitu nilikuwa naenda kuchukua nafika kwenye parking ya magar nakuta na yeye kapaki pikipiki yake nilivoina tu pikipiki nikajua eheeh kumekucha huko na ukizingatia leo asuh kimvua kilikuwa kinapiga nikachukua gari nikaondoka narud mida ya saa 5 asubuh bado nakuta boda ipo parking na nilitoka saa 12 asubuh niksema kweli shughur sio ndogo kwasababu huyu dada mmewake Kamuachia kilakitu mbaka gari mbili zipo kaziacha zimepark lakin dada kamganda bodaboda.

Jamani hawaviumbe wa kike nishida lakini ndio hivo ni kuishinao kwa akili sana ila ndoivo ngoja tuone mwisho wake utakuaje ila namuombea mungu boda asidakwe maana heeh sjui tutasafilisha au tutazika hapahapa.
Me namuombea ashikwe ili ajue mke wa mtu sumu
 
Mlio na mke muajiriwa dodoma na huwa anaaga semina Mara kwa Mara anza kunoa panga huko uliko[emoji3061]
 
Msishindane na nature, ukiona wako analiwa na ww tafuta mnyonge wako ummegee. Full stop[emoji3061]
 
Acha roho za kimasikini usifanye mishe kisa mwanamke? Mkae pamoja mle mawe na ataendelea kuliwa tu
 
Natamani adakwe huyo boda apakwe kilainishi huko kule nyuma
 
Elimu ya mapenzi bado nu finyu na Duni Kwa Watu Wengi.

MKe kuliwa zipo sababu nyingi na inategemea.

Unaweza muacha Mkeo na kusafiri Kwa miaka mpaka mitatu na asiliwe. Muda huohuo unaweza kuwa unaishi naye na unakaa naye muda wote lakini akawa analiwa na Ndugu yako WA karibu humohumo ndani ya nyumba au mlinzi wa nyumba yenu.

Mapenzi yanakanuni zake,

Kuna kupendana Sana. Wote mpendane Saba. Hii ndio huzuia Mkeo asichepuke.

Pili, kuna kukinaiana/kuchokana. Hii huchangia pakubwa MKE Kutoka.
Sasa Hii inanamna ya kuitatua.
 
Habar wana jamii forums, natumaini wote niwazima mungu anaendelea kutupigania.

Jaman NASISITIZA na KUSISITIZA kama umeondoka nyumbani kwako na kusafiri kikazi na kumuacha mkeo bhas niamini mimi umewaachia wauni wengine wale na niamini unaesomaa hii mada kama upo mbali na mkeo jua analiwa. Ukubali ukatae we jua hivyo mbaka utakapo rudi tofauti na hapo fanya maamuzi magumu nitatoa mfano.

Nina ndugu yangu ambae ni kakaangu ambae ni mwanajeshi Commando kabsa now yupo njee ya nchi kidogo wana mission yao, wapo huko wiki moja iliopita.

Nilikuwa nae alirudi tuliongea mengi sana lakin kitu kimoja ambacho kilinishangaza aliamua kuachana na mkewake kabsa na kudeal na watoto wake tu bhas mbaka leo skujua Kwanini aliamua kuchukua maamuz yale ghafra bas mbaka leo anaishi na kuwalea watoto wake na hataki kuskia habar ya mke.

Sasa leo ndo nimejua kwanini braza ataki mke hapa ninapoishi nimechukua apartment sasa nina jirani yangu ambae anakaa flow ya chini huyu mwamba na yeye ni mwanajeshi ila nayeye yupo njee ya nchi kwa mission maalumu sasa hawa wakiendaga mission njee wanakaa mwaka wakirud atakaa wiki ndo likizo yake anasepa mbaka tena mwaka ndo maisha yao.

Sasa mwamba kaoa anamke na mkewake saiv ni mjamzito na mwamba kaondoka kitambo so kamuacha mkewake lakin huku hali ni ya hatar kuna jamaa ambae ni bodaboda ambae anambeba sana huyu dada kila siku sasa kuna kitu kinaendelea huyu boda nahsi anakula mzigo sababu huyu boda katika wiki lazima aje kwa huyu dada nashuhudia sana na akija anaingiza pikipiki ndani anaipaki then anazama ndani kwa manzi na kutoka ni baada ya masaa mengi kupita akiingia jion kutoka ni usiku unakuta saa 5 ndo anasepa na huwa namchora sana.

Na chakushangaza hawana undugu wowote na mke wa mjesh wala mjeshi mwenyew malanyingi namkutaga kijiweni na wenzake sasa hii hali ya kuja kwa huyu mke wa jirani yangu imezid nasio kawaida wanawake sio kabsa huyu boda anakula sana huyu dada sababu mmewake kaondoka kitambo njee.

Hataleo nimetoka asubuh kuna vitu nilikuwa naenda kuchukua nafika kwenye parking ya magar nakuta na yeye kapaki pikipiki yake nilivoina tu pikipiki nikajua eheeh kumekucha huko na ukizingatia leo asuh kimvua kilikuwa kinapiga nikachukua gari nikaondoka narud mida ya saa 5 asubuh bado nakuta boda ipo parking na nilitoka saa 12 asubuh niksema kweli shughur sio ndogo kwasababu huyu dada mmewake Kamuachia kilakitu mbaka gari mbili zipo kaziacha zimepark lakin dada kamganda bodaboda.

Jamani hawaviumbe wa kike nishida lakini ndio hivo ni kuishinao kwa akili sana ila ndoivo ngoja tuone mwisho wake utakuaje ila namuombea mungu boda asidakwe maana heeh sjui tutasafilisha au tutazika hapahapa.
Mganga hajigangi, ulitoa story ya mwenzio na wewe sasa wamekulia mkeo
 
Back
Top Bottom