Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Ponjoro TypesBashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
Umerudi tena,ila hujatupa mrejesho wa yule jamaa wa Mbezi🤣🤣🤣CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee?
Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi .
Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache kujifaragua.
Unemsahau Rostam🤣🤣🤣Bashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
Dunia imebadilika sana.Bashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
Nyie ******* acheni ubaguzi na kuchafua watu, huo upuuzi hautawasaidia. Bashe ni nani mpk aharibu uchaguzi? Acheni upumbavu, Bashe ni kijana mwerevu, amekulia CCM, anaijua CCM in and out, ni mtiifu kwa chama chake atakuwa wa mwisho kuharibu jambo lolote ndani ya chama. Acheni siasa za kushamba hazitawafikisha popote.CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee?
Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi .
Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache kujifaragua.
We ngedere pori unajua asili ya hao mababu zako mafukara? Nyie makaburu weusi na hizo roho za husda hazitawasaidia. Babu wa Taifa letu alipiga vita huo upuuzi, kijana wa 2000 umezaja vinyesi kwenye ubongo eti wazawa! Shame on you all stupid and hopeless creatures. Oktoba tunatikiBashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
Kwa Katiba na Sheria za Bongo wageni si wakuwapa madaraka makubwa mtaliaDunia imebadilika sana.
Hadi watu weusi wanangoza Marekani.
Waziri wa mambo ya nje Uingereza ni Mnyaturu.
Sembuse Bongo?
Ubaguzi wa rangi tuuache, ikiwa mtu ni mzaliwa wa Tanzania ana hski kuchaguliwa
Ila sio huku kwetu kwenye bara lagiza ambalo wengi wao wanafanya kwa maslahi ya familia zao na koo zaoDunia imebadilika sana.
Hadi watu weusi wanangoza Marekani.
Waziri wa mambo ya nje Uingereza ni Mnyaturu.
Sembuse Bongo?
Ubaguzi wa rangi tuuache, ikiwa mtu ni mzaliwa wa Tanzania ana hski kuchaguliwa