Ukisema Jini tayari kuna majini miatatu karibu yako. Kila mtoto mchanga huguswa na jini dakika moja bada ya kuzaliwa. Vitabu vya dini vinasemaje?

Sio wa kuwaogopa, bali kuwatumikisha!
HAWANA UBAYA WOWOTE UKIWAJULIA!
That’s all!
 
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
Umenifurahisha sana ndg, naona umeamua kuyachana hayo majini, hapa nadhani mwenye thread yake aje atuambie pia hali za uchumi za hao viumbe hewa zipoje [emoji3][emoji3]
 
Umejuaje kama hakuna jini mwema ?
Jibu rahisi kwako.
Endelea kusoma kwa makini mada hii ya Mheshimiwa " Kudo " utaelewa.
Mtawala wao mkuu anayewapa majukumu ni Lucifer.
Shetani Mkuu.
Kama kuna matendo mema yanayofanywa na Majini tuwekee hapa.
Tunaendelea kujifunza sote.
 
Nimemvulia kofia mtoa mada, Kudo.
Kudo, ameleta mada muhimu sana kwenye maisha ya sisi binadamu.
Binadamu wengi tunakumbwa na mambo magumu ambayo tunashindwa kujua kuwa wanaosababisha ni Majini yanayotuzunguka.
Binadamu lazima ajue anaishi dunia moja na Majini, ingawa hayaoni kwa macho yake, lakini Majini yanamwona Binadamu.
Hivyo ni lazima binadamu ajue anawezaje kukutana na Majini, afanyenini yakimwingia mwilini, ni mabadiliko gani ya tabia ambazo zinasababishwa na Majini. nk
Ili aweze kuhimili akikutana na Majini, Binadamu lazima ayajue Majini kiundani.
Namshukuru sana sana mheshimiwa Kudo kwa mada nzuri mno na yenye manufaa kwetu sote.
Naomba aendelee kutupa elimu hii adimu.

Makofi ya pongezi kwa Mheshimiwa kudo yafadhari.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
sasa mzee baba kama taifa la jini ni moja jeshi la nini
 
sasa mzee baba kama taifa la jini ni moja jeshi la nini
Kwani ww unaishi kwenye mataifa mangapi,au ubini wako upo katika mataifa mangapi?
 
Nyoka ndie mwenye utawala hata vitabu vimemwandika
 
Jibu rahisi kwako.
Endelea kusoma kwa makini mada hii ya Mheshimiwa " Kudo " utaelewa.
Mtawala wao mkuu anayewapa majukumu ni Lucifer.
Shetani Mkuu.
Kama kuna matendo mema yanayofanywa na Majini tuwekee hapa.
Tunaendelea kujifunza sote.
Mimi nipo kinyume nae kwa mambo mengi sana juu ya hii mada husika. Rejea surat al-Jinni latika Qur'an.
 
Aaah mambo ya majini tena.....sijawahi kuamini wala kuona et kuna majini wazuri.....ebo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…