NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
NGAMIALinasemaje Chief
NYOKA
NA DRAGON
KIMAMLAKA YA UJININI IPI YAWEZA KUWA FALME KUU NA YA KUOGOFYA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGAMIALinasemaje Chief
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Ndugu, hakuna Jini zuri au Jema hata moja.
Hebu nitajie wema wa Majini.
Jini likishirikiana na binadamu basi ni katika kufanya kazi mbaya tu za urozi, wizi uhalibifu, vifo, magonjwa nk.
Hao wanaopata pesa za majini zinaambatana na masharti mengi ya kuumiza, kama kutoa makafara ya watu au wanyama wa kula, kutumia hizo hela kwa kufanya uhalibifu, unakuta mtu tajiri lakini haruhusiwi kutumia hizo pesa kwa maendeleo yake, anakatazwa kulala kitandani, kula nyama, kuvaa vizuri nk.
Na mwisho wake anakuwa chizi au kufilisika kabisa.
Ni utajiri wa mauzauza tu ili yakuingize kingi kwenye himaya yao na yaishie kukutesa.
Huyo anayeyajua Majini utakuta hawezi kujinufaisha na hayo majini, na kama hana uwezo wa kutafuta pesa yeye mwenyewe basi anakuwa masikini wa kutupwa.
Ikisemekana Jini ni Jema tusisingizie huo wema yanamtendea Mungu kwani sisi hatuuoni.
Ili kujua wema wa Majini hebu tuweke hapa kama yanashirikiana na binadamu yanamnufaishaje huyo mwanadamu.
Siku moja kuna mtu alipandisha Majini eti yakawa yanadai yaletewe Ubani na Udi ili yafukiziwe moshi wake na pia yachinjiwe kuku ili yale damu yake,
Kuna jamaa mmoja akayaambia, "nyie majini kwanini msifuge hao kuku ili mkitaka damu mchinje na mnywe wenyewe "
Kwanini pia mnapenda kukaa kwa watu masikini ambao hawali sana kuku, badala ya kukaa kwa matajiri wanaokula kuku kila siku na nyinyi muambulie mchuzi " yakabaki nanachimba vimikwala tu
Jini ni kiumbe dhifu sana ukulinganisha na binadamu, Binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu na kupewa mamlaka ya kuitawala dunia. Jina hana mamlaka hayo ndio maana dunia inajengwa na binadamu na sio Majini.
Kuna siku moja jamaa alipandisha Majini eti yanadai yaletewe Bia ya Safari ili yanywe, tulicheka hadi nusu tuzimie, Jini hana uwezo hata wa kugema Ulansi au Pingu au Mnazi.
Binadamu anapoenda kuomba msaada kwa Jini, Jini mwenyewe huwa kwanza anamshangaa sana huyo binadamu.
Ni sawa na mtu mzima mwenye afya bora anaenda kumwomba msaada mtoto mdogo abebe mzigo mzito ambao huyo mtoto hawezi hata kuunyanyua.
Jini ni viumbe dhifu mno vinaishi kwenye mazingira magumu sana hayawezi hata kujenga makazi mazuri ya kuishi, yanaishi kwenye mapango, baharini kwenye baridi kali, jangwani joto lao mvua yao baridi lao, kwenye vichaka, kwenye mahame, chooni, nk
Binadamu usiogope Jini hata siku moja, haliwezi kukufanya chochote zaidi ya kukutishatisha ukiliendea linakimbia ukiogopa linakucheka.
Jini ni sawa na uchafu tu.
A Shit Hole.
Jibu rahisi kwako.Umejuaje kama hakuna jini mwema ?
Nimemvulia kofia mtoa mada, Kudo.[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
Umenifurahisha sana ndg, naona umeamua kuyachana hayo majini, hapa nadhani mwenye thread yake aje atuambie pia hali za uchumi za hao viumbe hewa zipoje [emoji3][emoji3]
sasa mzee baba kama taifa la jini ni moja jeshi la niniSERIKALI YA MAJINI
Majini wana Utawala wao ambao ni Majini Wakuu na Majini wa Kawaida wanaopewa Kazi za kufanya na Wakuu wao, Katika Serikali yao kuna Wakuu wa Serikali, Wakuu wa Majeshi, Wakuu wa Mahakama na wengineo wengi.
Utawala katika Serikali yao umegawanyika katika sehemu Kuu mbili (2);
1. Utawala katika Ulimwengu wa Kijini.
2. Utawala katika Ulimwengu huu wetu wa Kibinadamu.
Majini Wakuu kabisa wapo Watatu (3) ambao Majina yao ni;
1.
2. Lucifer.................ambae ndio Mfalme wao (Emperor),
3. Beelzebuth.......... ambae ni Mtoto wa Mfalme (Prince),
4. Astaroth ..............ambae ni Mtawala Mkuu wa Majimbo (Grand Duke).
Hawa Watawala Wakuu kabisa watatu, iwapo Binadamu anataka kuwaita na kuwatumia inambidi atumie njia Maalum;
Mtu anayewaita anatakiwa achore alama zao kwa kutumia Damu yake mwenyewe, au anaweza pia kutumia Damu ya Kobe wa Baharini (Kasa) katika kuandikia.
Iwapo atashindwa haya yote basi anaweza pia kuwaita kwa kuchora alama za Majini hao kwenye Kito cha Ruby au
Emarald; kwani vito hivi vinaendana sana na Majini hasa wale wa Ukoo wa Jua, ambao huwa na Busara, wazuri na Marafiki zaidi kuliko aina nyingine ya Majini.
Alama hizi za Majini zinatakiwa zivaliwe na Mtu ambae anataka kuwaita. Ikiwa muitaji ni Mwanamme, anatakiwa aiweke kwenye Mfuko wake wa Kulia na iwapo ni Mwanamke, anatakiwa aiweke katikati ya Matiti yake ikielekea upande wa Kushoto.
Alama hizi zinatakiwa ziandikwe katika siku ya Jumanne saa Kumi na mbili (12) mpaka saa moja asubuhi au saa saba mchana mpaka saa nane kwa majini wote.
Majini hawa watatu wana uwezo wa kufanya mambo yote, na kwa Mtu ambae anawaita hawa anatakiwa aheshimu wale tu ambao watamheshimu kwani Majini hawa Wakuu wanawaheshimu wale tu ambao ni Marafiki wao Wakuu na wa karibu, hivyo mtu anaeamua kuwaita anatakiwa ajihadhari kwa lolote ambalo linaweza kutokea.
Utawala wa hawa umegawanyika baina yao wote kwani kila mmoja ana Wasaidizi wake wakuu Wawili ambao nao huwa wanawatuma Majini wengine kuhusu mambo ambayo Mfalme wao Lucifa ameagiza yafanyike Duniani kote.
Wasaidizi walio chini ya Lucifa ni;
Put Satanachia na
Agaliarept;.............Ambao wanaishi Bara la ULAYA na ASIA.
Wasaidizi walio chini ya Beelzebuth ni;
Tarchimache na
Fleurety...................Amb ao wanaishi Bara la AFRIKA.
Wasaidizi walio chini ya Astaroth ni;
Sargatanas na
Nebiros.............Ambao wanaishi Bara la AMERIKA.
{mospagebreak}
Majini katika Serikali yao kulingana na Kazi zao ni kama ifuatavyo;
1.
2. LUCIFUGE ROFOCALE....ambae ni Waziri Mkuu (Prime Minister)
3. SATANACHIA.........ambae ni Amiri Jeshi Mkuu (Commander-in-Chief)
4. AGALIAREPT......ambae ni Kamanda wa Majeshi
5. FLEURETY.........ambae ni Luteni Jenerali (Lieutenant-General).
6. SARGATANAS.....ambae ni Brigedia Meja (Brigadier-Major)
7. NEBIROS....ambae ni Jemedari Mkuu na ni Inspekta Jenerali (Field-Marshal and Inspector-General).
Kama jinsi ilivyoonekana hapa ya kuwa Utawala wao katika Ulimwengu wao wa Kijini umekaa KIJESHI lakini Utawala wao hapa Duniani sio wa Kijeshi kwani;
1. LUCIFUGE ROFOCALE; ana Mamlaka ambayo amepewa na LUCIFA ya kudhibiti Mali na Hazina zote za hapa Duniani.
Wasaidizi wake ni Baal, Agares na Marbas.
2. SATANACHIA ana Mamlaka juu ya Wake, Wanawake, na Wasichana wote ambapo ana uwezo wa kuwafanyia kama jinsi atakavyopenda yeye.
Wasaidizi wake ni Pruslas, Aamon na Barbatos.
3. AGALIAREPT
Ana Mamlaka na Uwezo wa kugundua Siri zote zilizopo katika Mabaraza na Mahakama zote hapa Duniani.
Anavumbua Siri za hali ya juu sana.
Anaamuru Kikosi cha Pili cha Majini wasiopungua 3,000).
Wasaidizi wake ni Buer, Gusoyn, na Botis.
4. FLEURETY
Ana Mamlaka na Nguvu za Kufanya Kazi yeyote Usiku na anasababisha mvua ya Mawe katika sehemu yeyote ile itakayoitajika.
Anaongoza na Kudhibiti Jeshi kubwa la Majini.
Wasaidizi wake ni Bathsin (au Bathim), Pursan, na Eligor.
5. SARGATANAS ana Nguvu na Mamlaka ya;
Kumfanya Mtu yeyote asionekane.
Anasafirisha Mtu yeyote kwenda sehemu yeyote ile.
Kufungua Loki na Kufuli zote Duniani,
Kuonyesha na kuweka wazi mambo yote yanayofanyika ndani ya Nyumba za Watu binafsi.
Anafundisha mbinu zote za Uchungaji wa Wanyama.
Anadhibiti na Kuamuru Vikosi Kadhaa vya Majini wasiopungua 5,000 kwa kila kikosi.
Wasaidizi wake ni Zoray, Valefar na Faraii.
{mospagebreak}
6. NEBIROS ana uwezo wa;
Kushurutisha Uovu kwa Mtu yeyote amtakaye.
Ana uwezo wa Kumletea Mtu Fahari Kuu.
Ana uwezo wa Kumuonyesha Mtu vitu Bora kama vile; Madini, Mawe, Mboga, na Wanyama.
Ana uwezo Mkubwa wa Kutabiri vitu vitakavyotokea hapo baadae; kwani Huyu ndiye Mkuu wa Utabiri katika Ulimwengu wa Kijini.
Anazunguka zunguka huko na huko kila sehemu kwa ajili ya Kuangalia, kuchunguza na Kukagua aina zote za Maangamizi.
Wasaidizi wake ni Ayperos, Naberrs na Glassyalabolas.
Kuna Mamilioni ya Majini wengine ambao nao wapo chini ya hao waliotajwa hapo juu na hutumika tu pale inapoonekana ya kuwa kuna Kazi ya kufanya kutoka kwa Wakuu wao, kwani wao hutumiwa na Wakuu wao kama Wafanyakazi au Watumwa.
Hata hivyo kuna Majini Wasaidizi Muhimu Kumi na Saba (17) ambao wao hufanya Kazi kama Mawaziri wa Wale Majini Wakuu Sita (6), Majini hao pamoja na Kazi zao ni kama ifuatavyo;
1. CLAUNECK;
Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,
Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,
Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,
Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali;
Mtii naye atakutii!
2. MUSISIN;
Ana Nguvu juu ya Mabwana Wakuu, anawapa Maelekezo kuhusu yale yanayotokea na kupitishwa katika Serikali zao na za Washirika wao.
3. BECHARD;
Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Upepo, Dhoruba (Tufani), Radi, Umeme, Mvua na Mvua ya Mawe, kwa kutumia uchawi wa Chura na Vitu vingine vya namna hii.
4. FRIMOST
Ana uwezo juu ya Wake na Wanawali na ana uwezo wa kukusaidia kuwafurahia.
5. KHIL ....Husababisha Mtetemeko wa Ardhi.
6. MERSILDE: Ana uwezo wa kukusafirisha mara moja sehemu yeyote uitakayo.
7. CLISTHERET: Ana uwezo wa kukugeuzia usiku na mchana kwa kupenda kwako.
{mospagebreak}
8. SIRCHADE: Ana uwezo wa kukuonyesha wewe aina zote zile za wanyama katika umbo lolote lile walilonalo.
9. SEGAL: Ana uwezo wa kukuonyesha dhahiri miujiza yeyote iwe ya kawaida au ya kimazingaombwe.
10. HIEPATCH: Ana uwezo wa kukuletea mtu aliye mbali papo hapo.
11. HUMOTS: Ana uwezo wa kusafirisha aina zote za vitabu kwa starehe yake.
12. FRUCIESSEIERE: Ana uwezo wa kuwafufua wafu.
13. GULAND: Ana uwezo wa kusababisha aina yote ya maradhi.
14. SURGAT: Ana uwezo wa kufungua aina zote za Loki.
15. MORAIL: Ana uwezo wa kufanya vitu vyote Duniani visionekane.
16. FRUTIMIERE: Ana uwezo wa kukupa kila aina ya sherehe.
17. HUICTIIGARA: Ana uwezo wa kusababisha kutembea usingizini na kwa wengine kuwakosesha usingizi kabisa.
Satanachia na Satanisie wanawatawala majini 45 au 50 wanne katika hao ni Surgutthy, Heramael, Trimasel na
Sustugriel. Wawili wa hawa ni machifu na waliosalia hawana umuhimu wowote.
Hawa ni Majini watumikao kwa binadamu kwa urahisi na haraka lau ikiwa wanaelewana na anaemuita,
Serguthy ana uwezo juu ya wake za watu na wanawali
Heramael anafundisha elimu ya madawa na anatoa na ujuzi kamili wa magonjwa yote, tiba zake sahihi, anafundisha
aina ya mimea yote, sehemu mimea hiyo inapatikana, nyakati nzuri ya kuipata, umuhimu wa mimea hiyo na namna ya kuchanganya mimea hiyo ili kupata dawa sahihi kwa maradhi ya aina yeyote ile.
Trimasel na Sustugriel hawa wawili ni Machifu na wanatoa elimu ya kichawi kwa wale wanaowapenda.
Agalierept na Tarihimal wanamtawala Elelogap, ambae nguvu zake zipo juu ya Maji.
Nebirots Wawili wawatawala Hael na Sergulath.
Hael anatoa maelezo juu ya Usanii wa kuandika kila aina ya Barua, anampa Mtu uwezo wa kuongea mara moja kila
aina ya Lugha na anaelezea na kufumbua vitu vyote vya siri.
Sergulath ana uwezo wa Kufundisha Mtu njia mbalimbali za kuvunja pande ambazo hazielewani.
Hawa wana Wasaidizi wao Wanane (8) wenye nguvu
1. Proculo ambae ana uwezo wa kumpatia Mtu usingizi kwa muda wa masaa manane huku akiwa anafahamu yanayotokea usingizini.
2. Haristum ambae anampa Mtu uwezo wa Kupita kwenye Moto bila ya kuungua.
3. Brulefer, ambae ana uwezo wa Kumfanya Mtu apendwe na Wanawake.
4. Pentagnony, ambae anawapa Watu uwezo wa Kutokuonekana (Invisible), pia anapendwa sana na Watawala Wakuu
5. Aglasis, ana uwezo wa Kumsafirisha Mtu kwenda sehemu yeyote ile Duniani.
6. Sidragrosam, anawafanya Wanawake wacheze Uchi.
7. Minoson, ana uwezo wa Kumhakikishia Mtu kushinda katika Michezo yeyote ukiwepo wa Kamari.
8. Bucon ambae ana Uwezo wa kuanzisha Chuki na Wivu kati ya Jinsia mbili (Wanaume na Wanawake).
Naishia hapa ila nipatapo muda nitajaribu kuleta mada nyingine kuhusu uwepo wao juu ya ulimwengu kabla ya mwanadamu na kwanini mungu aliwaumba,himaya zao na chimbuko lao la usaliti juu yao wenyewe na muumba
zitto junior
Asalaam kudo
Kwahiyo unataka kusema mkuu Mungu amewahi kuumba kiumbe kinaitwa Shetani?Mkuu hata Shetani ni kiumbe cha Mungu lakini hana jambo zuri kwa binadamu.
Sawa sawa na Jini.
Mimi nipo kinyume nae kwa mambo mengi sana juu ya hii mada husika. Rejea surat al-Jinni latika Qur'an.Jibu rahisi kwako.
Endelea kusoma kwa makini mada hii ya Mheshimiwa " Kudo " utaelewa.
Mtawala wao mkuu anayewapa majukumu ni Lucifer.
Shetani Mkuu.
Kama kuna matendo mema yanayofanywa na Majini tuwekee hapa.
Tunaendelea kujifunza sote.
Picha tafadhali
Bila picha mkuu story yako hainogiHahaha unataka picha ya jini?
Umesema ufalme mmojaKwani ww unaishi kwenye mataifa mangapi,au ubini wako upo katika mataifa mangapi?
Basi tumwite Ibilisi.Kwahiyo unataka kusema mkuu Mungu amewahi kuumba kiumbe kinaitwa Shetani?
Sawa inasemaje hiyo Surat Jinn, tupe SomoMimi nipo kinyume nae kwa mambo mengi sana juu ya hii mada husika. Rejea surat al-Jinni latika Qur'an.
Kaisome.Sawa inasemaje hiyo Surat Jinn, tupe Somo