Noo nishajifunza kuhusu Mungu vya kutosha na bado naendelea kujifunza. Namjua Mungu wangu nayemwabudu.Ungekuwa umeunganishwa usingekuja hapa kuniuliza hilo kanisa linaitwaje. Lakini kama kweli unataka kujifunza KWELI YA MUNGU basi ingia hapa www.ccog.org
Uzuri ni kwamba bible inasomwa kwa dot's ila ukisoma litricture ndio unaibuka na quote moja ya kumaliza hitaji lakoMkuu malaika waliomuasi MUNGU kwa idadi yao ni theluthi ya malaika wote na kiongozi wao ni Lusiferi(UFUNUO 12:3-4). Alianza Lusiferi kuasi na akaweza kuwashawishi theluthi ya malaika wengine nao pia wakaasi. Hakuna tofauti yoyote ile ya malaika waasi na majini, hao ni kitu hicho hicho kimoja.
Malaika hawa walioasi pamoja na Lusiferi mwenyewe ndiyo hao wanaitwa mashetani, maana ya "shetani" ni "adui" au tunaweza kusema ni "adui ya MUNGU". Kwa udanganyifu wa Shetani amewadanganya na kuwafanya muamini kuna tofauti kati ya shetani na jini, wakati ukweli ni kwamba hakuna tofauti yoyote ile, shetani ndiyo huyo huyo jini na jini ndiyo huyo huyo shetani.
Kwahiyo ni malaika waliyoasi na kwamba wana idadi yao kamili au ni kwamba hadi sasa malaika wengine huwa wanaasi?Tusidanganyane hapa mkuu, hakuna tofauti kati ya Majini na Mashetani, wote ni hao hao tu. Hakuna tofauti kati ya Mapepo na Maruhani. Kwa kifupi ni kwamba malaika wote walioasi Mbinguni na kufukuzwa ndiyo hao leo hii wanaitwa majina tofauti tofauti, wengine wanawaita Majini, Mapepo, Mashetani, Vibwengo, Maruhani, Mizimu, Mazimwi, Mapopobawa n.k.
Hawa wote ni malaika walioasi Mbinguni na kiongozi wao ni mmoja tu ndiye Lusiferi. Huyu Lusiferi moja ya mbinu yake ni kuwachanganya Wanadamu akili zao kwa kuwadanganya kuwa kuna tofauti kati ya Majini na Mashetani. Kwa kifupi tu ni kwamba Lusiferi amekuja na majina ya aina mbali mbali ambayo amewapa wale malaika waliomfuata ili kuwapoteza Wanadamu waone kuna tofauti kumbe kitu ni kile kile!
Mbinu hii ya Lusiferi inaitwa "divide and rule" yaani "watenganishe na uwatawale". Lusiferi amewatenganisha hawa malaika wake kwa kuwapatia majina tofauti tofauti ili waweze kuwatawala Wanadamu kirahisi na hilo wamefanikiwa sana kwani leo hii kuna Mamilioni ya Wanadamu wanaamini kuna Majini wazuri na Majini mabaya. Leo hii Wanadamu wanaamini kuna Mizimu na Mashetani.
Tena Lusiferi amefanikiwa sana kuwatenganisha Wanadamu pia, YESU alipokuja na Mafundisho ya INJILI, Lusiferi akaja na QUARAN(Waislamu mtanisamehe kwani huo ndiyo UKWELI ulivyo). Tena ndani ya Ukristo Lusiferi amefanikiwa kuwagawa sana kwani kuna waabudu JUMAPILI na waabudu siku ya JUMAMOSI, kote huko amevuruga vuruga ili kuwatenganisha. Lipo kundi dogo sana linaloshika mafundisho ya KWELI ya MUNGU linaitwa KANISA LA MUNGU.
Hili nalo Lusiferi amefanikiwa kulivuruga mno kiasi limegawanyika sana na kamebakia kakikundi kadogo sana kanakoshikilia Amri za MUNGU na Imani ya KWELI ya YESU. Hii yote ni ili yatimie yale maneno ya YESU kuwa watakaokolewa ni KUNDI DOGO SANA!
UKWELI ni kwamba hakuna tofauti yoyote ile kati ya hao viumbe niliowataja, wote hao ni wale malaika walioasi Mbinguni na kuja duniani wakimfuata Lusiferi, wote ni kitu kimoja na tabia zao ni moja isipokuwa tu wanajifanya kuwa tofauti ili kuwapotosha Wanadamu na kuwadanganya.
Ndiyo maana Yesu alisema itafuteni KWELI nayo hiyo KWELI itawaweka huru kweli kweli. Mwenye masikio na asikie!
Cc. Kudo Da'Vinci Mshana Jr zitto junior Che mittoga Tz mbongo Sky Eclat Otorong'ong'o SALA NA KAZI mitale na midimu Dejavu Shubiri Pori nyabhingi Mr Q
Kwahiyo sifa ya kutokufa si ya Mungu tu pekee?Mkuu, wanakufaje wakati wao ni roho pekee? Wao wana sifa nyingi sana zinazofanana na malaika tu, ishu ni kwamba wao ni malaika waliohasi ufalme na neno la Mungu.
Hizi story za hizi njemba jini kufa ni hadithi tu za kusadikika hazina ukweli wowote. Majini ni roho na roho haijawahi kufa bali mwili hufa.
For a simple reason ya wao kuishi rohoni, hivyo hawafi Mkuu. Asante.
Huyo atakuwa moja ya wale wasabato masaliaNataka unitajie wewe ni kundi gani/linaitwaje?
Mkuu hakuna kitu unajua wewe, yeyote anayesema anajua hajui kitu. soma 1 WAKORINTHO 8:2Noo nishajifunza kuhusu Mungu vya kutosha na bado naendelea kujifunza. Namjua Mungu wangu nayemwabudu.
Kwa mujibu wa biblia hata sisi wanadamu hatukutakiwa kufa ila kifo kilikuja baada ya uasi wa wazee wetu Adamu na Hawa.Kwahiyo sifa ya kutokufa si ya Mungu tu pekee?
Mungu anasema nini kuhusu yule mtoza ushuru na Mfarisayo..?Mkuu hakuna kitu unajua wewe, yeyote anayesema anajua hajui kitu. soma 1 WAKORINTHO 8:2
Ndio mkuu kifo ilikua penalty baada ya ancestor wetu kuanguka dhambini. Ila Mungu anatupenda akatupa neema ya uzima wa milele.Kwa mujibu wa biblia hata sisi wanadamu hatukutakiwa kufa ila kifo kilikuja baada ya uasi wa wazee wetu Adamu na Hawa.
Pia baada ya kufufuliwa kwa ajili ya hukumu ya mwisho hakutakuwa na kifo tena.
Umeuliza swali la msingi sanaKwahiyo ni malaika waliyoasi na kwamba wana idadi yao kamili au ni kwamba hadi sasa malaika wengine huwa wanaasi?
Na kwanini hatuwaiti malaika tu kama ambavyo binaadamu hata hata akiasi bado huwa ni binaadamu tu?
Ndio mkuu maana vyote vilivyo na roho pekee havifi ikiwemo malaika na Mungu mwenyewe.Kwahiyo sifa ya kutokufa si ya Mungu tu pekee?
Ukizungumzia masuala ya baada ya hukumu teyari kifo kilishatokea,sasa hoja ya kwamba kuna viumbe ambao hawafi na hivyo hata hiyo Siku ya hukumu itawakuta wakiwa hawajawahi kupatwa na umauti maana wana sifa ya kutokufa.Kwa mujibu wa biblia hata sisi wanadamu hatukutakiwa kufa ila kifo kilikuja baada ya uasi wa wazee wetu Adamu na Hawa.
Pia baada ya kufufuliwa kwa ajili ya hukumu ya mwisho hakutakuwa na kifo tena.
Mkuu kulikuwa na maasi ya aina mbili, uasi wa kwanza ni ule alioufanya "Malaika Lusiferi" na kuwashawishi "malaika wenzake" wengine pia wakaasi. Kisha baada ya huo uasi wa kwanza ukatokea tena uasi mwingine, huu ni ule wa wale malaika waliokuja duniani na kuoa mabinti na kuzaa nao.Kwahiyo ni malaika waliyoasi na kwamba wana idadi yao kamili au ni kwamba hadi sasa malaika wengine huwa wanaasi?
Mkuu ni jina tu, fahamu kwamba wote hawa wanaitwa "wana wa MUNGU"(MWANZO 6:1-2). Unaweza ukawaita "malaika waasi", lakini baada ya kuasi walipewa jina la ujumla ambalo ni "Mashetani" maana yake ni "Maadui". Jina "Shetani" siyo jina lao la asili, wao ni malaika isipokuwa tu wao ni "waasi".Na kwanini hatuwaiti malaika tu kama ambavyo binaadamu hata hata akiasi bado huwa ni binaadamu tu?
Kwa uelewa wangu majini malaika vibwengo nk. Wanatofautiana lakini wote wanamtumikia Lucifer. Ukisoma biblia unaona imeandikwa shetani na jeshi lake kwaiyo ni collection ya viumbe.Kwahiyo ni malaika waliyoasi na kwamba wana idadi yao kamili au ni kwamba hadi sasa malaika wengine huwa wanaasi?
Na kwanini hatuwaiti malaika tu kama ambavyo binaadamu hata hata akiasi bado huwa ni binaadamu tu?
Ndivyo ilivyo mkuu kifo na hukumu vinatuhusu sisi wanadamu na shetani na jeshi lake.Ukizungumzia masuala ya baada ya hukumu teyari kifo kilishatokea,sasa hoja ya kwamba kuna viumbe ambao hawafi na hivyo hata hiyo Siku ya hukumu itawakuta wakiwa hawajawahi kupatwa na umauti maana wana sifa ya kutokufa.
Kwa hivyo majini(malaika waliyoasi) wana idadi kamili hawaongezeki maana hakutokei tena uasi.Mkuu kulikuwa na maasi ya aina mbili, uasi wa kwanza ni ule alioufanya "Malaika Lusiferi" na kuwashawishi "malaika wenzake" wengine pia wakaasi. Kisha baada ya huo uasi wa kwanza ukatokea tena uasi mwingine, huu ni ule wa wale malaika waliokuja duniani na kuoa mabinti na kuzaa nao.
Kundi hili la malaika waliozaa na wanadamu, baada ya gharika walikamatwa na kufungwa kwenye vilindi vya giza(YUDA 1:6) lakini Lusiferi na kundi lake wao hawakukamatwa mpaka ile siku atakapokuja YESU kwa mara ya pili(UFUNUO 20:1-3).
Baada ya maasi haya kufanyika, hakuna tena uasi utakaofanyika Mbinguni, Malaika wote waliobakia ni Watiifu kwa BWANA MUNGU.
Mkuu ni jina tu, fahamu kwamba wote hawa wanaitwa "wana wa MUNGU"(MWANZO 6:1-2). Unaweza ukawaita "malaika waasi", lakini baada ya kuasi walipewa jina la ujumla ambalo ni "Mashetani" maana yake ni "Maadui". Jina "Shetani" siyo jina lao la asili, wao ni malaika isipokuwa tu wao ni "waasi".
Ni kama vile kikundi cha "uasi" kikitokea katika nchi, utaona jinsi watu wanavyokipa majina ya ajabu ajabu ingawa waasi ni wananchi tu wakawaida.
Wanatofautiana vp mkuu wakati wote ni malaika tu? hayo ya mapepo au vimbwengo yanakujaje?Kwa uelewa wangu majini malaika vibwengo nk. Wanatofautiana lakini wote wanamtumikia Lucifer. Ukisoma biblia unaona imeandikwa shetani na jeshi lake kwaiyo ni collection ya viumbe.
Hapo sasa sijaelewa,wewe unasema kifo kinatupata kwa sababu in adhabu na wengine wanasema kifo kinatupata kwa sababu ya kuwa na hii miili,kwa maana hivyo wasio na maumbo ambao ni roho hawafi.Ndivyo ilivyo mkuu kifo na hukumu vinatuhusu sisi wanadamu na shetani na jeshi lake.
Mfano malaika watiifu kama Michael, Gabriel na Rafael Mungu hana sababu ya kuwauwa. Kwa mujibu wa biblia kifo ni adhabu/laana na watakao kufa na kufufuliwa na wakaonekana walijitahidi kumtii Mungu hawatakufa tena.
Hata Yesu kilichomfanya akutane na kifo ni ile yeye kukubali kutumwa na Mungu kutoka mbinguni aje duniani auvae mwili wa kibinaadamu na kuifanya kazi aliyoagizwa kuifanya, otherwise kifo kilikuwa hakumhusu.
Hawawezi kuongezeka maana wao hawana mfumo wa "uzazi" kama viumbe wengine, malaika hawazaliani kama binadamu. Ukisikia watu wanasema majini wanazaliana huo ni uongo mtupu, ni hadithi tu za "alinacha", mambo ya kufikirika, maana majini ndio hao hao malaika waasi na hawana uwezo wa kuzaliana wao kwa wao. Idadi yao ni kamili, haiongezeki wala haipungui.Kwa hivyo majini(malaika waliyoasi) wana idadi kamili hawaongezeki maana hakutokei tena uasi.
Ndiyo binadamu naye anaweza kuitwa "shetani", sababu maana ya shetani ni adui, kama nilivyokuambia malaika waasi jina lao la asili siyo "shetani" bali ni "Malaika" au "Wana wa MUNGU".Na kuhusu kuitwa shetani hivyo hata binaadamu nao pia wanaweza kuitwa shetani?kwa jinsi ulivyo elezea hilo neno shetani.
Mkuu kila mtu ana alipotoa maelezo yake kuhusu hao viumbe,sasa wewe unadhani maelezo ya kwamba majini kuwa ni malaika yanaendana na uhalisia?Hawawezi kuongezeka maana wao hawana mfumo wa "uzazi" kama viumbe wengine, malaika hawazaliani kama binadamu. Ukisikia watu wanasema majini wanazaliana huo ni uongo mtupu, ni hadithi tu za "alinacha", mambo ya kufikirika, maana majini ndio hao hao malaika waasi na hawana uwezo wa kuzaliana wao kwa wao. Idadi yao ni kamili, haiongezeki wala haipungui.
Ndiyo binadamu naye anaweza kuitwa "shetani", sababu maana ya shetani ni adui, kama nilivyokuambia malaika waasi jina lao la asili siyo "shetani" bali ni "Malaika" au "Wana wa MUNGU".
Jina lingine ambalo MUNGU alilitumia kuwaita hawa malaika ni "Azazel". YESU alisema hivi; "ukitenda dhambi unakuwa mtoto wa Shetani na baba yako anakuwa ni Shetani, ukitenda mema unakuwa ni mtoto wa MUNGU na BABA yako anakuwa ni MUNGU".