Ukisema ndio we shujaa, ukisema hapana we mwoga....? kwa nini??

Ukisema ndio we shujaa, ukisema hapana we mwoga....? kwa nini??

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
JF,
Jamani me katika maisha ya mapenzi ni megndua kitu.
mara nyingi mwanamke akitongozwa alaf akakataa hua anaonekana
kama ametulia na ni mwadilif, lakini mwanaume akitongozwa na
mwanamke(kitu ambachi kimeanza kushika kasi siku hizi) alaf akakataa
hua anaoneka mwoga, dhaifu au mshamba.

Kwanza, wewe mJF unalionaje hili, linaukweli kiasi gani kwako?
na ni kwa nini hua hivi??
 
mh! kaka wala uitamani, tena bora akutake tu kwa siku mojambili yaishe.
akikupenda kabisa utakoma!
 
Back
Top Bottom