Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Natumai umejibiwa swali lako...lakini ukitaka kiswanglish sema 'anableed', sio 'anabreed'. Ni vitu viwili tofauti.
Kabisa mkuu hapo umeenda sawa sasa......
Ni uchafu ulioje kufanya wakati female anabreed.
Naona mkuu unaongelea kitu kingine tofauti na topic, nadhani ni bleed na sio breed.
huyu mwana JF anaomba ushauri naona wote mnamponda tu kuna kuzidiwa wakati mwingine, lakini upande wa pili we mwanamke una breed kwanini unamvulia mtu chupi.... kuwa na msimamo upende mwili wako, heshimu maumbile yako..
Daaa again mkuu nadhani una mean correct ila ni tofauti na unavyofikiria ni ku bleed na sio breed, ni maana tofauti kabisa....