Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hiii ndio kauli ya kishujaaa toka niingie humu jfUnataka uishi miaka mingi wewe kobe? Utawapa shida watoto wajukuu zako kukutoa nje kukuanika kila siku. Ishi miaka 70 ya Mungu na bonus isiyozidi miaka 7-10-ondoka acha gap kwa wengine! Serikali lenyewe hili halijali wazee!
Sent using Jamii Forums mobile app